Na vipi kuhusu FA cup?Na hiyo Carabao leseni yake wamepata lini
Nomaaachampionship kule mpira wao ni umekamilika..
yaani watu kule wanakaba mpaka harufu..
Timu 24speed 120 dakika zote 90
Mkuu baki na Azam yako.Hata kama una Azam au kisimbuzi chochote unaweza kuangalia Championship (EFL) kupitia FOX SPORTS 1&2.
.
Msitishike wadau DSTV tupa kule hilo nunua weka sehemu ya biashara not home, bei ya kifurushi inazidi bei ya kukinunua chenyewe ujinga gani huo
DSTV hovyo sana...walikuwa wanaonesha NBA sijui nini kiliwafanya waache
Okay...Before 2012 walikuwa na ESPN1 na ESPN2, mwaka huo ESPN wakasema wanajiondoa Africa, DSTV ikabidi wabid kuonesha kwa misimu mitatu, ilivyoisha ndiyo ikawa moja kwa moja.
Coverage ya ESPN ilikuwa nzuri sana. Tokea hapo mimi ladha ya DSTV iliisha.
Mimi mtundu tu wa haya madude mkuu situmii kisimbuzi cha Azam wala Zuku ila napata channels zote nazozitaka kwenye kisimbuzi chochote.Mkuu baki na Azam yako.
DSTV hovyo sana...walikuwa wanaonesha NBA sijui nini kiliwafanya waache