Dstv hamjambo?

Azam hawezi pata hii dstv hapo ndipo anapowakamatia watu pamoja na uefa huku kwingineko ashapaachia

Kupata rights za kuonyesha epl sio mchezo lazima wajipange kisje watokea kama kilichowatokea Gtv-sport wakafirisika kabisa

Leo hii supersport wanasign mikataba na makampuni makubwa kama ya espn,sky sport

Azam inabidi ajipange sana bado anasafari ndefu sana mpaka apate epl rights
Na hapa EPL ndio huwa anakuwa babalao
 
Anaetaka access ya DStv Now aje jamani kifurushi ni compact weekend hii mechi kibao Premier League live ! Seria A na La Liga ,achana na mambo ya banda umiza

Utanipoza hata hela ya bia mbili tu
 
Vile vifurushi vyenu vya maelf bado bei ileile? Au mmeshusha hadi Tsh. 5000? Kwakweli kipindi hiki cha Covid-19 , Dstv mmeisoma namba nanyi kivyenu, maana siku hizi king'amuzi chenu ni sawa tu na StarTimes! Dstv bila EPL, UEFA champions League si lolote!
Tuendelee kunawa mikono na kufuata maelekezo yote yanatolewa na wizara ya Afya!
The world without Covid-19 is possible!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatukosea sana sisi wapenda movie
 
Back
Top Bottom