DSTV Full Set kwa TZS 79,000*

DSTV Full Set kwa TZS 79,000*

Mongijr

Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
13
Reaction score
1
Jiunge sasa na Dstv kwa punguzo la bei ambapo utapata vifaa vyote kwa Tsh 79,000. Pia utapewa mwezi mmoja bure wa kifurushi cha Compact chenye Channels zaidi ya 90. Utashuhudia mechi zote za Uefa Euro live kwenye HD
0b0cd977a4b292a4646c8e00c32d443a.jpg
Nipigie 0767556701. Alphonce nipo Mwanza
 
Hicho kifurushi cha Compact kinauzwaje baada ya huo mwezi mmoja kwisha????
 
Unatumiaje sasa bila bei kwa huo mwezi unaofuata
 
Hicho kifurushi cha Compact kinauzwaje baada ya huo mwezi mmoja kwisha????

Compact ni kama Tzs. 84,000/mwezi.
@Mangijr hiyo 79,000 inajumuisha na kifurushi cha mwezi?? Na gharama za ufundi?
 
Juzi juzi nmewapigia hawa jamaa nibadilishe decorder maana natumia decorder ya zamani (ambazo si HD) nipate hizi za HD wanasema ninunue kwa 59K wakati bei ya full package ni 79k. Si bora niongeze hiyo 20 ninunue package nzima. Nimpe hata mtu bure hii decorder ya zamani plus dish n waya.
Ma.bwege sana mtu mteja wao miaka 5 sasa wanashindwa kuonyesha concern hata kidogo.
 
Vipo vifurushi vya aina kuu tano Dstv Bomba kwa 23,500/- kwa mwezi channels 70. Family 51,000/- channels 75, Compact 84,500/- nk
 
Mikoa mingine je bei ikoje
Bei ni moja upo mkoa gani
Juzi juzi nmewapigia hawa jamaa nibadilishe decorder maana natumia decorder ya zamani (ambazo si HD) nipate hizi za HD wanasema ninunue kwa 59K wakati bei ya full package ni 79k. Si bora niongeze hiyo 20 ninunue package nzima. Nimpe hata mtu bure hii decorder ya zamani plus dish n waya.
Ma.bwege sana mtu mteja wao miaka 5 sasa wanashindwa kuonyesha concern hata kidogo.
 
Compact ni kama Tzs. 84,000/mwezi.
@Mangijr hiyo 79,000 inajumuisha na kifurushi cha mwezi?? Na gharama za ufundi?
Unapewa mwezi mmoja bure kwa kifurushi cha compact Tsh 84,500
Bila ufundi
 
Kwa hiyo Local channel gani zinaonekana katika kila kifurushi??

Vipo vifurushi vya aina kuu tano Dstv Bomba kwa 23,500/- kwa mwezi channels 70. Family 51,000/- channels 75, Compact 84,500/- nk
 
Kwakweli siwezi kulipia kifurushi kwa 84,500 kwa sass wakati ninacho cha azam kwa 25,000 na maisha yanasonga.So subiri nitafute uwezo huo kwanza Kisha ntakutafuta,kwasasa acha Tu niisome namba sass maana hakuna namna.
 
Vipo vifurushi vya aina kuu tano Dstv Bomba kwa 23,500/- kwa mwezi channels 70. Family 51,000/- channels 75, Compact 84,500/- nk

Kifurushi cha DSTV BOMBA kuna chaneli gani za michezo?
 
Izo sio level zangu nawaachia wenye nazo wacha tukomae na zuku tuu
 
Unapewa mwezi mmoja bure kwa kifurushi cha compact Tsh 84,500
Bila ufundi
Ufundi bei gani?
Vifaa 'vyote' ni hadi waya wa kutoka kwenye dish kwenda kwenye decoder?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom