Dstv decoder inayoweza kuonyesha picha mbili tofauti ( dual view ) needed

Dstv decoder inayoweza kuonyesha picha mbili tofauti ( dual view ) needed

Kalumbesa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,013
Reaction score
356
Wanajamvi,

Ninatafuta zile DSTV decoders zenye kuwezesha kuona picha mbili tofauti kwa wakati mmoja. Niliwahi kuuliza DSTV wakaniambia hawatengenezi tena zile decoder. Kwa anayefahamu wapi naweza kupata anijulishe.
 
Me nafahamu extra view ambapo unakuwa na decoder 2 kwa malipo yale yale kwa mwezi ingawa inaongezeka kama dola 5 ama kumi tu kwa huduma hii

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ht mm nina DST ya Zuku ningependa kujua kifaa gani kitaweza nitatulia tatizo km la mtoa mada hapo juu
 
je unataka tumia kwa screen moja au mbili tofauti? kama ni screen moja ioneshe chanels mbili inabidi ime LCD
 
Back
Top Bottom