Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 247
Email yangu hii mkuu kingjastin@yahoo.com, hawa makaburu washanifaidi vyakutosha.
tafuteni na maujanja ya star tyms ......
MP.
sasa email ya nini wakati kuna PM..
Nimekupm mkuuwakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
ii kitu ipo kwa zaidi ya miaka saba-nane.... na sio bongo tu, ila sasa huu uvuvuzela utawaamsha wazibe line!! sijawahi kusikia mwizi akipiga mbinja kwamba nimeiba leo nyumba fulani
labda uwe mag@mba
Wewe ulijuaje kama haukuambiwa na nduguyo? kama wewe ni mchoyo wa kutoa acha jamaa awape ujuzi wadau, kizuri kula na nduguyo bana. We unafkiri hata usipotangaza hawatagundua loopholes na kuziba? wakiziba wajanja wanatafuta pengine wanatoboa!:eyebrows:ii kitu ipo kwa zaidi ya miaka saba-nane.... na sio bongo tu, ila sasa huu uvuvuzela utawaamsha wazibe line!! sijawahi kusikia mwizi akipiga mbinja kwamba nimeiba leo nyumba fulani
labda uwe mag@mba
Yes, but not in a media like this... wiki tatu tu zijazo utasikia ile link imekatwa aisee....Wewe ulijuaje kama haukuambiwa na nduguyo? kama wewe ni mchoyo wa kutoa acha jamaa awape ujuzi wadau, kizuri kula na nduguyo bana. We unafkiri hata usipotangaza hawatagundua loopholes na kuziba? wakiziba wajanja wanatafuta pengine wanatoboa!:eyebrows:
Yes, but not in a media like this... wiki tatu tu zijazo utasikia ile link imekatwa aisee....
Sorry if i differ with you or anyone, ila nimesema tu kwamba mwizi wa mbinja si mjanja!!! remember it is not right!!!