John Heche
Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi
John Heche
Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.
source FB Heche wall paper
Hii inaitwa twanga kote kote
Heche,
Mbona unaongea uwongo mweupe unasema kesho mnapokea vijana 230...labda nikuulize umejuaje hiyo idadi wakati hata bado hawajajiunga?
Mkuu lunch wapi leo?
John Heche
Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi
John Heche
Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.
source FB Heche wall paper
Hii inaitwa twanga kote kote
:target::A S 41::mad2::-*:mad2::bowl::shut-mouth::focus:
Hakuna kulala, wabunge wa CCM wamenyea kambi,wao wanalinda maslahi ya chama chao sisi CDM tunalinda maslahi ya masikini wa Tanganyika, itafahamika tu na kitaeleweka huku mtaani watanganyika maskini wamechoka choka mbayaniaje, kila mtanganyika ananalalamika "maisha magumu kwa kila mtanganyika yanawezekana+.:censored::A S-cry::mad2::crying::crying::kev::focus::flypig::flypig::canada::director::juggle::rip::bange::lock1::rain::flame::llama::msela::fish2::humble::fish::clock::drum::behindsofa::clap2::first::roll::bathbaby:
Kikwete ana sapoti CDM kimtindo na nahisi ana mpango wa kuiua ccm katika kipindi chake cha mwishoUkiniuliza mimi nimefurai sana kwa jana Pinda na CCM yake kupata kigugumizi kuhusu mawaziri kutowajibika ni vizuri sana maana mbele ya umma serkali inazidi kuonekana ni ya ovyo na hivyo kuongeza hasira dhidi ya CCM na serikali. A blunder after blunder is a blessing in disguise for the opposition and this is the time to capitalize on. Walisema wanavua magamba wakagwaya! Wamesema tumefanya maamuzi magumu tutatangaza wamegwaya! Ni opportunity ilioje.
Lema ndiye anawaleta?Viva lema kamanda wangu 2ko pa1 mungu ibariki m4c.
Good move Bavicha.
Nchi ngumu na kula mara mmoja tu kwa siku...wewe si unakula Break Point jirani na ofisi yenu Billicanas.
Mkuu lunch wapi leo?
Mkuu wewe kweli mgeni hapa mjini.Billicanas ipo jirani na Break Point?