Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Mimi nimejikuta namgombeza mwanangu alipokuwa ananiuliza swali kwenye homework yakeviva CDM ila sijiu kwanini ilipofika tu saa mbili wakati naangalia bunge nimepatwa na kichefu chefu cha ajabu na hasira kali kwa ccm?
viva CDM ila sijiu kwanini ilipofika tu saa mbili wakati naangalia bunge nimepatwa na kichefu chefu cha ajabu na hasira kali kwa ccm?
kitaeleka tu, hakuna mchezo; Sugu amewaambia wajiandae kuwa chama cha upinzanihakuna kulala had kieleweke
Napendekeza operesheni hii iitwe OPERESHENI GHADHABU YA UMMAGood move Bavicha.
Kwa kweli nimeamini kuwa CCM wote ni familia ya mapanya, wote ni wezi. Hakuna wa kumukamata mwingine!
pole sana tedo; kuna signature moja ya JF member inasema Stress=expectation/output binafsi huwa naongeza
Expectation/output but when the results is greater than one
nadhani ndicho kilicho kukuta matarajio yalikuwa makubwa kuliko matokeo
umefika wakati watupishe magogoni.
Mimi nimejikuta namgombeza mwanangu alipokuwa ananiuliza swali kwenye homework yake
Unadhani wanaweza wakatupisha kama hatujaenda hapo. Mgeni hafunguliwi Mlango mpaka agongeumefika wakati watupishe magogoni.
Hitimisho la bunge limeacha ladha ya ukakasi kwa mamilioni ya Watanzania. Limezaa majonzi na hasira kali ambayo watawala hawajui tu.
Lakini hizi habari za CDM kuendelea kujijenga sambamba na elimu kwa umma(kwa upande mmoja); na ubomoaji wa ccm kila kona (kwa upande mwingine) ndio faraja kwa jioni hii.
Asante makamanda
John Heche
Unafiki wa wabunge wa ccm umedhihirika leo waliongea kwa hisia za kinafiki na kujifanya wanapenda nchii kumbe wanapenda matumbo yao na chama chao, hakuna aliejiuzulu sisi tutakwenda kwenye mahakama ya umma na watakutana na hasira za wananchi huko, hatutavumilia dharau hizi
John Heche
Tunawashukuru vijana ambao wameamua kutoka ccm na kujiunga na jeshi la ukombozi kwa ajili ya kupigania haki na usawa katika nchi yetu, kesho tutapokea vijana 230 kutoka katika matawi na kata mbalimbali za Dar es salaam baada ya kuchoshwa na porojo za ndani ya chama chao, hakuna kulala mpaka kieleweke.
source FB Heche wall paper
Hii inaitwa twanga kote kote
Hitimisho la bunge limeacha ladha ya ukakasi kwa mamilioni ya Watanzania. Limezaa majonzi na hasira kali ambayo watawala hawajui tu.
Lakini hizi habari za CDM kuendelea kujijenga sambamba na elimu kwa umma(kwa upande mmoja); na ubomoaji wa ccm kila kona (kwa upande mwingine) ndio faraja kwa jioni hii.
Asante makamanda