DSM kujengwa mfumo wa trams? zingatieni hili

DSM kujengwa mfumo wa trams? zingatieni hili

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,823
Reaction score
27,695
Tafadhali, tumesikia tangazo kwamba mnataka kujenga mfumo wa reli kuzunguka DSM nzima, binafsi sijaelewa wanajenga mitaruma ya mireli ili tuwe na tram zinazotembea kwenye makokoto katikati ya mji au wanajenga mfumo wa trams kama nchi zingine.

Naomba kutoa tahadhari hii manake bongo kwa upigaji usijestuka wamekuwekea mataruma kama ya reli ya tazara katikati ya mji, manake kikubwa usafiri upo. ili kupendezesha mji na kuwa kisasa, tunaomba wekeni mfumo wa modern trams.

Tukiwa wakweli, hata hiyo SGR hadi dodoma, inarahisisha usafiri ila ukiweka na kwengine una ona kwetu bado ni SGR ya third world country. tuna kila kitu hatushindwi kujenga kitu bora. Mungu awasaidie. tunataka vitu kama ivi hapa.
09022020-jerusalem-israel-modern-low-floor-trams-on-the-streets-of-the-jewish-capital-on-a-rai...jpg


Alstom_Citadis_305_-_AnsaldoBreda_Sirio.jpg
 
Tafadhali, tumesikia tangazo kwamba mnataka kujenga mfumo wa reli kuzunguka DSM nzima, binafsi sijaelewa wanajenga mitaruma ya mireli ili tuwe na tram zinazotembea kwenye makokoto katikati ya mji au wanajenga mfumo wa trams kama nchi zingine. naomba kutoa tahadhari hii manake bongo kwa upigaji usijestuka wamekuwekea mataruma kama ya reli ya tazara katikati ya mji, manake kikubwa usafiri upo. ili kupendezesha mji na kuwa kisasa, tunaomba wekeni mfumo wa modern trams. tukiwa wakweli, hata hiyo SGR hadi dodoma, inarahisisha usafiri ila ukiweka na kwengine una ona kwetu bado ni SGR ya third world country. tuna kila kitu hatushindwi kujenga kitu bora. Mungu awasaidie. tunataka vitu kama ivi hapa.
View attachment 3519147

View attachment 3519148
Huwezi kuamini hizi Tram zilijengwa miaka 100 iliyopita na walianza na mipango miji
 
Hii ni mipango iliyopo kwenye makaratasi ya muda mrefu kma ilivyokuwaga SGR…ni mpaka kiongozi mwenye uthubutu na mzalendo kama JPM akijatokea ndo aya yanaweza kuwa uhalisia ila kwasasa ni propaganda tu.
 
Huwezi kuamini hizi Tram zilijengwa miaka 100 iliyopita na walianza na mipango miji
nchi kama za ulaya zilianza hii miaka mingi sana, kwa waliofika Lisbon, SPAIN au italia, zipo kongwe mno. ni kweli, walianza na mipango mingi, ila hata sisi kwa dsm ilivyo, tunaweza. mbona mwendokasi ilifanikiwa?


images (1).jpg
images.jpg
 
Mkuu mwendokasi imefanikiwaje ?
tumefanikiwa kujenga "miundombinu ya mwendokasi", achana na uendeshaji hata uwe mbovu cha muhimu ni miundombini, manake akija mwekezaji mwenye akili as long as miundombinu ipo, jambo ni rahisi kuliendesha. miundombinu ya kenya wanahangaika BRT kwao ni ngumu hadi leo.
 
nchi kama za ulaya zilianza hii miaka mingi sana, kwa waliofika Lisbon, SPAIN au italia, zipo kongwe mno. ni kweli, walianza na mipango mingi, ila hata sisi kwa dsm ilivyo, tunaweza. mbona mwendokasi ilifanikiwa?


View attachment 3519152View attachment 3519153
Mwendokasi imefanikiwa vipi mkuu?

Kwenye ujenzi hakuna mahali tunashindwa, uendeshaji hakuna mahali tumeweza..
 
Upuuzi mtupu,

Nashauri serikali kabla ya kufikiria jambo hilo kwnz wangejikita kumaliza kero sugu za wanainchi.
-maji
-umeme wa uhakika
-weka lami na taa mitaani
-hospitali dawa za uhakika
-shule za government ziboreshwe.

Hayo mengine hayana umuhimu wowote Kwa wanainchi kwa sasa.
 
Upuuzi mtupu,

Nashauri serikali kabla ya kufikiria jambo hilo kwnz wangejikita kumaliza kero sugu za wanainchi.
-maji
-umeme wa uhakika
-weka lami na taa mitaani
-hospitali dawa za uhakika
-shule za government ziboreshwe.

Hayo mengine hayana umuhimu wowote Kwa wanainchi kwa sasa.
kwa hiyo akili yako yoote ndio imeishia hapo?
 
Sasa hyo train itakuwa na faida gn kama basic needs ni shida?
Au ni miradi ya watu?kwamba wanajali sn faida zao kuliko kero za wanainchi?

Kwa miundo mbinu gn tuliyonayo kuweka train na mwendokasi mjini pamoja?

Kwanza waweke miundo mbinu mizuri ya mitaa na barabara za lami ndy wahamie huko.
 
Back
Top Bottom