dola na nchi ni mali ya watanzania. Fisi mkumbwa we!!
dola ni mali ya watanzania chini ya utawala wa ccm
dola na nchi ni mali ya watanzania. Fisi mkumbwa we!!
Jiji la Mbeya lina kata 36....
Chadema wana kata 26,Ccm wana kata 9 kata moja haikufanya uchaguzi
Ninavyofahamu mimi Jiji la Dar, Madiwani wa Ukawa 53, CCM 38.
Jiji la Tanga, Madiwani wa Ukawa (CUF) wapo 16, CCM wana 11. Jiji la Arusha ndiyo funga kazi, Madiwani wa Ukawa(Chadema) wapo 24, CCM wameambulia diwani 1, Jiji la Mbeya Ukawa( Chadema) wana madiwani 18, CCM wana 6. Mji wa Moshi Ukawa (Chadema) wana madiwani 18 na CCM wameambulia 3, Mji wa Iringa Ukawa(Chadema) 14 na CCM wana madiwani 4.
Kwa hiyo ingawa CCM inatamba kuwa imeshinda, lakini kiuhalisia imeshinda 'maporini' na kwenye miji mikubwa na yenye uwezo mkubwa kiuchumi almost yote ipo chini ya Ukawa except Jiji la Mwanza ambalo ni home city kwao Magufuli.
Dola na nchi ni mali ya watanzania. FISI MKUMBWA WE!!
Ubungo pekee ndio chadema.... Tmk CCM, Ilala CCM, Kinondoni CCM na Kigamboni CCM.... Meya wa Jiji yupo kwa hisani ya CCM tuDar karibia halmashaur zote zitaendeshwa na ukawa
Mikoani huko wamejifanya wameichagua ccm tuwaache waendelee kula vumbi huku rushwa ikizid kuongezeka