DSE 1,2,3.. : Kampuni zenye thamani kubwa katika Soko la Hisa

DSE 1,2,3.. : Kampuni zenye thamani kubwa katika Soko la Hisa

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,763
Reaction score
3,226
Ushawahi kujiuliza ipi ni kampuni kubwa hapa nchini...?
Japo msemo "Kampuni kubwa ni tungo tata" lakini mara nyingi huangazia ukubwa wa Thamani ya kampuni katika soko la hisa
Thamani ya Kampuni/Market value hupatikana kwa kuzidisha idadi ya hisazilizopo sokoni za kampuni husika kwa bei ya hisa moja moja.
yaani,
Thamani = idadi ya hisa X bei ya hisa
Hii nayo imekuwa moja ya kivutio kikubwa cha kuwafanya watu wawekeze katika kampuni flani.
Ifuatayo ni taaarifa fupi ya Thamaniza kampuni katika soko la hisa la DSE kw mwaka 2020 hadi 2024

2020
1779435474943.png


2021
1779435533340.png

2022
1779435554628.png

2023
1779435576153.png

2024
1779435600550.png


nimepunguza ,000 kwa ajili ya urahisi wa kuwasilisha taarifa kwenye Graph​
 
Zile kampuni zenye alama ya Onyo kwa watumiaji wa bidhaa zake ndiyo zimekuwa vinara kwa kuwa na thamani kubwa kwa miaka 5 mfululizo ...Japo kwa miaka ya karibuni Mabenki yamekuwa yakija kwa kasi.
Ambapo kwa mwaka 2025,Benki ya NMB ndiyo imekuwa kampuni kubwa Tanzania na ya pili kwa ukubwa ka Afrika Mashariki na kati
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom