Drupal File Upload (msaada Tafadhali)

Drupal File Upload (msaada Tafadhali)

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Natengeneza website kutumia drupal, itakuwa na videos ndani yake na naziupload kutoka kwenye server (sio you tube,vimeo etc) Nimeshainstall module zote za kuupload na kuonyesha video na kuzicustomize....Ziko hosted kwenye FTP Account yangu. Sasa Nimeshaziupload na nataka kuzilink na main site kutumia drupal. Siwezi kuupload kwasababu Host Hakubali Max_Filesize Upload kuwa zaidi ya 20MB... Na videos zina more than 50mb. (ziko kwenye mp4 format)
Je kuna Module yeyote ya kuupload kutoka kwenye server (FTP) direct? Au nafanyaje hapa...
Msaada tafadhali..

Tutaftane kwenye PM au hapa.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom