Na kukaa kwangu nje hii sign sijawahi iona... Thanks....Na ni kweli mahalai ambapo kuna bar nyingi panastahili kuwekewa sign kama hiyo. Kwa bongo ni kama San Cilo, Hongera nk
Inategemea 'nje' gani!
ah...nafikiri kuna maeneo dar yanapaswa kuwekwa alama hii
Barabara toka bamaga mpk shekilango walitakiwa waviweke sana.ah...nafikiri kuna maeneo dar yanapaswa kuwekwa alama hii
ah...nafikiri kuna maeneo dar yanapaswa kuwekwa alama hii
Hata nje ya nyumba ni nje...afafanueUnataka sema ni nje ya bafu?