Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Ahahaha chama hiloo mkuu..record yetu england inaongea yenyewe,ulaya nzima wanaijua
kuna lile fuso limefunga injini ya bajaji kila msimu utasikia top four ili waende champions league kutalii naskia huwa furaha yao kupiga picha na messi
 
Yani karibia nusu ya timu zilizo ingia UCL na Europa league zinatoka Spain na hata misimu mingi iliyopita hii inaashiria nini katika soka la ulaya ngazi ya vilabu??????
kwa maoni yangu naona England ni ligi ngumu wenye mashindano mengi na hakuna timu kubwa wala ndogo,inahitaji nguvu myimgi na akili nyingi kushinda taji lolote tofauti na spain soccer huwa naliona too smooth kuna match za kukaza ila nyingi zilizo baki ni mpira wa kurelux pia wanamashindano pungufu zaidi ya england..wabobezi wata nikosoa pia
 
sa una ligi ngumu halaf kwe mashndano ya kmataifa unaburuzwa na wa ligi lain maazna yake nn?
 
kwa maoni yangu naona England ni ligi ngumu wenye mashindano mengi na hakuna timu kubwa wala ndogo,inahitaji nguvu myimgi na akili nyingi kushinda taji lolote tofauti na spain soccer huwa naliona too smooth kuna match za kukaza ila nyingi zilizo baki ni mpira wa kurelux pia wanamashindano pungufu zaidi ya england..wabobezi wata nikosoa pia
Mkuu INA maana hilo ulilosema ndo sababu inayosababisha timu za Spain zinatamba soka la ulaya hasa Uefa champions league na Europa league kuliko zile za Uingereza??????
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Juve ni hatari hawajaruhusu hata goli moja mechi mbili na barc wakifika fainali hawa kombe lao kwa kweli Atletico sio wazuri sana sasa hivi Madrid wanapita ila kwa shida sana Monaco ni hatari pia wana uwezo wa kufunga magoli ngoja tusubiri hizo siku jumanne na j5 yake..
 
Back
Top Bottom