Drones za Iran zavamia Dubai International Airport

Drones za Iran zavamia Dubai International Airport

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
5,895
Reaction score
11,788
Leo, March 1 2026
Video inaonyesha uharibifu ndani ya jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya shambulio la droni kutoka Iran kuwajeruhi watu wanne. Ofisi ya mawasiliano ya Dubai Airports imesema timu za dharura zilikuwa activated mara moja kwa kushirikiana na mamlaka husika.
 
Ninapoishi hata kwa mguu nafika DXB ...ni jirani.milio tu ya milipuko huku
 
Back
Top Bottom