Drones ni game changer kwenye vita

Africa nzima at once? Wacha wee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hii b83 pekee ina uharibifu zaidi ya mara 80 ya lile fat man lililotupwa Hiroshima.USA ina uwezo wa ku launch zaidi ya 20 ya mabomu ya aina hii kwa mara moja yani with a click of a botton, Africa ina nchi 55, bara lote lina ukubwa wa kama 30.3 million km² , Hiroshima ina ukubwa wa 906.7 km²
 
Mkuu nashukuru sana kwa muda wako kunielimisha hii ishu.
 
Warusi wana private military wanaitwa WAGNER group.awa jamaa wana base kwenye mji wa Sitre na al jufra.hii miji imeshindikan kabisa kukombolewa maana ni miji ambayo ukipata basi una miliki asilimia 70 ya visima vya mafuta vya Libya.

Waturuki na washirika wao walijaribu kutuma drone ila zikawa zinashushwa na ndege aina ya Mig-29.mwisho wa siku wakaamua kusonga front ivyo ivyo ili kukomboa mji wa Sitre.kilichowakuta Mungu mwenyewe anajua.

Warusi washajua kuwa dawa ya drone za Waturuki ni kutuma Mig-29 basi unaishusha kiwepesi tu.mpaka leo hii Warusi wanashikilia visima vya mafuta Libya
 
Sisi bado tunafanya mazoezi kwa kutambaa chini ya senyenge. Yaani wenzetu kila kitu wanskirahisisha kupitia technology.
Kama hujui usiongee, hata USSR USA na nchi nyingine wanafanya hayo mazoezi ya kutambaa na mikesha yote, lengo kuu ni kumpa Askari ukomavu wa mwili na uvumilivu
 
Kama hujui usiongee, hata USSR USA na nchi nyingine wanafanya hayo mazoezi ya kutambaa na mikesha yote, lengo kuu ni kumpa Askari ukomavu wa mwili na uvumilivu

Ni kweli mkuu kwa sasa bado wanajeshi wanahitajika kiasi fulani. Ila mi nnachokiona miaka kadhaa ijayo maendeleo ya sayansi na teknolojia yanaweza kusababisha kukawa hakuna haja tena ya askari.

Mfano ikifika mahali vifaa vyote vya kivita kama ndege, vifaru, magari, meli za kivita, nk vikawa havihitaji tena rubani/dereva yaani vinaendeshwa tu kwa remote, maana yake vita haitakua tena ya watu kwenda kupigana, bali watu wanakaa kwenye screen wanashambuliana kama vile unavyocheza game kwenye ps4. Wanajeshi wa wakati huo hawatahitaji tena kuwa wakakamavu maana vita itakua inapiganwa watu wakiwa wamekaa kwenye makochi.

Infact hata hapa tulipo umuhimu wa wanajeshi umeshapungua sana ukilinganisha na miaka 200 iliyopita. Zamani, ubora wa jeshi ulikua unapimwa kwa idadi ya wanajeshi ulio nao maana vita ya enzi hizo ilikua ni uso kwa uso - jeshi moja linakaa upande huu na lingine upande ule then filimbi inapulizwa mnaanza kuchapana marungu, mikuki, fimbo, mapanga, mishale nk. Mwenye wanajeshi wengi ndio alikua na uwezekano mkubwa wa kushinda.
 
Kiajira drones zinaleta majanga. Wigo wa formal employmenyt kwa vijana wetu unazidi kupungua.
 
The rise of machine
 
mbona kwa sasa hao waturuki wenu wanafurushwa na majeshi ya Syria, juzi kati wamekimbia miji 2 huko Syria baada ya kuzingirwa, hivyo vi drone vilikuwa ?
 
Ile mizigo Ni jiko linalotembea mzee, ule ulioona sio rungu Ni mwiko wa kupikia.
 
The rise of machine
Kitu kama hicho mkuu. Unajua kiuhalisia, jeshi linahitaji gharama kubwa sana kuli maintain. Wanajeshi wanahitaji kula, kuvaa, matibabu, nyumba, nk. Bado utahitaji uwasafirishe mpaka kwenye uwanja wa vita, uwahudumie, upeleke na madaktari, madawa, wapishi, nk. Ila ukiwa na drones zako kama 1,000,000pcs hivi aaah we unazi deploy tu zinaenda kufanya maangamizi zikimaliza zinarudi na hata zikilipuliwa haziachi familia inayolia lia nyuma. Naona nchi nyingi zita opt kuwa na machines kuliko kua na wanajeshi.
 
Kwa budget mdogo kabisa ya s5 million unaipata.
 
Kama hujui usiongee, hata USSR USA na nchi nyingine wanafanya hayo mazoezi ya kutambaa na mikesha yote, lengo kuu ni kumpa Askari ukomavu wa mwili na uvumilivu
Ni kweli, na nalijua hilo ila haiondoi kuwa kuna haja ya kuboresha mifumo yetu na si kubaki vilevile.
 
mods wamefuta comments za kukosoa jeshi la mfalme wa Tanganyika.

Hivi mkifuta inasaidia nini?

Ukweli ni kwamba hawa tulionao ni migambo plain tu ambao kazi yao kubwa ni kurusha mateke na kuwakimbiza akina Fatma Karume.

Jeshi la kuvunja maboksi. Duh.
 
Haaaaaaa daah wabongo buana.
 
mbona kwa sasa hao waturuki wenu wanafurushwa na majeshi ya Syria, juzi kati wamekimbia miji 2 huko Syria baada ya kuzingirwa, hivyo vi drone vilikuwa ?
Hao si walizingirwa toka mwaka jana,,walikuwa wakiishi kwa kuzingirwa,syria hawakutaka kuwaua au kuwachukua mateka,,sasa wamechoka wakaamua kuondoka,maana hata supply ya vitu,sharti ipite kwa kuruhusiwa na syria arab army
 


Hii ni Spike firefly,israel infantry portable loitering munitions.
Haka kanatoshea kwenye bag la mgogoni tu,na kanakuwa controlled via program ambayo iko installed kwenye tablet,
Range yake kwa mjini mita 500 na kwa open space mita 1000,
Kama huwa unasikia kule syria,mara mtambo wa umeme umelipuka,au kisima cha mafuta kimewaka,mchawi ndo huyu,
Inflitrator anakabeba kwenye backbag hadi karibu na target na kukarusha kisha anaka direct kwenye target via tablet,,kisha anasepa,unabaki unashangaa store inawaka,
Payload gram 350.
 
Haka ndo kalifanya yake ule mlipuko wa lebanon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…