Drone nusura zimuue Putin - Serikali ya Urusi

Serikali ya Urusi imesema kuwa, ndege zisizo na rubani zilitaka kulenga makazi ya Rais wa Urusi, V. V. Putin katika makazi ya pili ya Rais huyo.
Hata hivyo vikosi vya Usalama vilimuamsha baada ya kusikia ving'ora vikilia kabla ya ndege hizo kutunguliwa umbali wa 6km.

Serikali ya Urusi imesema kuwa itasawazisha kwa njia wanayoijua wao.
Hadi leo Ukraine haijakataa au Kukiri kuhusika na mashambulizi hayo.

Ujerumani yasema Ukraine ina haki ya kuishambulia Urusi ndani ya nchi yake kama njia ya kujilinda.

Pia Ujerumani umetoa tamko la kufunga Balozi 4/5 za Urusi nchini Ujerumani.

Siku ya jana USAF imesafirisha mizinga na makombora kwa kutumia ndege 6
C130 Hercules
C130 Super Hercules
C130 globetrotter
C130 globemaster

NB: Warusi wanataka wamuue Putin afu lawama abebeshwe Ukraine
Putin kwa sasa anaishi katika wakati mgumu kuliko mtu yoyote yule.
 
Himars hii hapa imekula CP ya S400 last week

#Ukraine: A Russian 55K6A command post of the S-400 AD system was destroyed by the Ukrainian army in #Kherson Oblast - as claimed, using GMLRS.

It is the first recorded loss of this valuable asset and the second loss of the S-400 component - previously a launcher was destroyed.
View attachment 2641910

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app

Mnacho sahau ni kwamba Ukraine nao wana S-400 walizo nunua Urusi miaka ya nyuma - hasa hapo how can you tell kwamba tunayo onyeshwa kwenye picha ni Ukraine S-400 au Russian owned S-400.
 
Serikali ya Urusi imesema kuwa, ndege zisizo na rubani zilitaka kulenga makazi ya Rais wa Urusi, V. V. Putin katika makazi ya pili ya Rais huyo.
Hata hivyo vikosi vya Usalama vilimuamsha baada ya kusikia ving'ora vikilia kabla ya ndege hizo kutunguliwa umbali wa 6km.

Serikali ya Urusi imesema kuwa itasawazisha kwa njia wanayoijua wao.
Hadi leo Ukraine haijakataa au Kukiri kuhusika na mashambulizi hayo.

Ujerumani yasema Ukraine ina haki ya kuishambulia Urusi ndani ya nchi yake kama njia ya kujilinda.

Pia Ujerumani umetoa tamko la kufunga Balozi 4/5 za Urusi nchini Ujerumani.

Siku ya jana USAF imesafirisha mizinga na makombora kwa kutumia ndege 6
C130 Hercules
C130 Super Hercules
C130 globetrotter
C130 globemaster

NB: Warusi wanataka wamuue Putin afu lawama abebeshwe Ukraine
Labda Putin wa Kimanzichana
 
Mnacho sahau ni kwamba Ukraine nao wana S-400 walizo nunua Urusi miaka ya nyuma - hasa hapo how can you tell kwamba tunayo onyeshwa kwenye picha ni Ukraine S-400 au Russian owned S-400.
Thibitisha kuwa Ukraine alikuwa na S400
 
Mnacho sahau ni kwamba Ukraine nao wana S-400 walizo nunua Urusi miaka ya nyuma - hasa hapo how can you tell kwamba tunayo onyeshwa kwenye picha ni Ukraine S-400 au Russian owned S-400.
Mzee Acha Propaganda!!!!

Ukraine walinunua lini S400?!

Nchi zinazomiliki S400 sidhani hata kama 10 zinafika!

NB; Hii sio component ya Kwanza ya S400 kupigwa na Himars,mwaka Jana launcher ilipigwa kwa GMLRS.

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Kwa tuliosoma Cuba ..... military science with grenades tumaelewa kuwa Russia anajichezeshea hizo drones ......

Ili kuendelea ku buy time with military operations.....coz kaona vikwazo vimemshindwa,,,,,,,, uchumi wa ulaya una zadi ku sinks
Ndivyo ilivyo hata UGERUMANI INASEMA HIVYO. LENGO LA.PUTIN NI KUDHALILISHA ULAYA INAYOPOROMOKA MUDA HUU NA KUMWANDALIA URAIS TRUMP
 
Serikali ya Urusi imesema kuwa, ndege zisizo na rubani zilitaka kulenga makazi ya Rais wa Urusi, V. V. Putin katika makazi ya pili ya Rais huyo.
Hata hivyo vikosi vya Usalama vilimuamsha baada ya kusikia ving'ora vikilia kabla ya ndege hizo kutunguliwa umbali wa 6km.

Serikali ya Urusi imesema kuwa itasawazisha kwa njia wanayoijua wao.
Hadi leo Ukraine haijakataa au Kukiri kuhusika na mashambulizi hayo.

Ujerumani yasema Ukraine ina haki ya kuishambulia Urusi ndani ya nchi yake kama njia ya kujilinda.

Pia Ujerumani umetoa tamko la kufunga Balozi 4/5 za Urusi nchini Ujerumani.

Siku ya jana USAF imesafirisha mizinga na makombora kwa kutumia ndege 6
C130 Hercules
C130 Super Hercules
C130 globetrotter
C130 globemaster

NB: Warusi wanataka wamuue Putin afu lawama abebeshwe Ukraine
Hiyo NB: uliyo weka umenifanya nicheke sana tusiwe hivyo jamani
 
Watakao muua PUTIN ni Warusi wenyewe , hasa matajiri wanauchungu naye sana , Mali nyingi zimetaifishwa za matajiri wa Russia , watamuua tuu mkuu , KIKULACHO KI NGUONI MWAKO
 
Ila naiona ishara mbaya sana kwa Putin, sio kwamba hawezi kufikiwa watu wanamlia timing tu. Kuna mstari alio chorewa bila yeye kujua akiufikia tu analiwa kichwa.

Hizo drone ni kama wanampa ujumbe kwamba hayupo salama muda wowote wakimtaka wanamnyakua chap!
 
Back
Top Bottom