Drogba

drogba alionekana kuhuzunika sana alipotolewa na kupumzishwa sasa naona hasira zake ndio akaamua kummalizia refa
badala ya kujiangalia yeye mwenyewe na mchango wake katika ile
mechi.

lakini naamini hata ballack alistahili angalau kadi kwa kitendo chake
alichofanya kwa kumkimbiza refa kama anamkimbiza kibaka flani hivi.

hivi kama mpira ni emotions basi nadhani abidal ilibidi ampige refa
mzinga wa kichwa kwa ile kadi nyekundu. nadhani huyu bwana anastahili
pongezi kwa jinsi alivyo-react baada ya kupewa kadi nyekundu.
 
Unajua sisi kina "maganga" tutakacho kifanya chochote mbele ya macho ya wazungu huwa kwenye spotlight. Drogba alitakiwa alijue hilo ingawaje Ballack, Terry na Lampard walifanya the same mistake!
 
teh teh..kweli naona kweli hukuelewa..nilichosema ni kuwa tujivunie kipaji chake..(nadhani umeona hio bold)..lol

Kama hangekuwa na kipaji the mzunguz wangeshamfuta kazi siku nyiingii..oh..no hata VISA asingepata.. hata hivyo jamaa nadhani amezaliwa na kukulia Paris hivyo hamna 'kitimoto' wa kumzingua..got money in the bank na kipaji anacho..na mjeuri vilevile!

aurevoir..

bwa! ha! ha! yeah
 
Mpira sio kipaji peke yake na nidhamu pia.......drogba apewe adhabu inayostahili kama kutimuliwa atimuliwe klabuni asiwaambukize watoto wazuri kama Essien....hata yanga tungempuga
 
Mpira sio kipaji peke yake na nidhamu pia.......drogba apewe adhabu inayostahili kama kutimuliwa atimuliwe klabuni asiwaambukize watoto wazuri kama Essien....hata yanga tungempuga

Nidhamu haipewi kombe mkuu. Timu inatikisa nyavu kuliko nyengine hiyo ndio inayozawadiwa kombe na kitita..
 
Hawa UEFA nao wameishiwa, kwanini wamemfungia Drogba na Bosingwa tu? Ballack hajaguswa kabisa? Halafu eti fine £85,000? Kwa Abramovich hivi si vijisenti tu?
 
Hawa UEFA nao wameishiwa, kwanini wamemfungia Drogba na Bosingwa tu? Ballack hajaguswa kabisa? Halafu eti fine £85,000? Kwa Abramovich hivi si vijisenti tu?

Criteria mojawapo nadhani ni rangi ya ngozi..lol. Sisi ngozi nyeusi ni wagumu sana kukubali ukweli kuwa the mzunguz will never take us equal...The earlier we understand this the better.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom