Driving (Road) distance chart ya Tanzania

Driving (Road) distance chart ya Tanzania

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
wadau naweza kupata chart ya umabari wa barabara za Tanzania hasa kwa njia hii
Korogwe (Tanga) hadi Chalinze hadi Iringa hadi Njombe hadi Ludewa.
nilijaribu kugoogle nikapata flight distance na sio driving (road) distance
natanguliza shukrani zangu.
 
Mbona inawezekana kwa kutumia iphone
 
wadau naweza kupata chart ya umabari wa barabara za Tanzania hasa kwa njia hii
Korogwe (Tanga) hadi Chalinze hadi Iringa hadi Njombe hadi Ludewa.
nilijaribu kugoogle nikapata flight distance na sio driving (road) distance
natanguliza shukrani zangu.
naona imeandika "Rujewa" badala ya "Ludewa" sijui kama wamekosea jina au kuna eneo lingine kwa jina hilo, hii hapa route kutoka Tanga kupitia Korogwe hadi Rujewa,, ktk Samsung Galaxy Note 10.1 N8000,,,

screenshot2013011308035.png
 
Ipo ramaniwalitoa watu wa BP. Inaonyesha road distance za Tamzania nzima. Ninayo hard copy. Kaulizie pale BP Kurasini kama bado wanazo(sasa PUMA)
 
Dar - Moro ni 195km, Moro - Iringa ni 300km, Iringa - Njombe ni 230km na Njombe - Ludewa ni 130km. Mkuu Rujewa na Ludewa ni sehemu mbili tofauti, Ludewa ipo mkoa wa Njombe (Iringa) na Rujewa ipo mkoa wa Mbeya. Kabla hujafika mbeya mjini kuna sehemu inaitwa Igawa unakunja kushoto kama unatoka Dar kuelekea Mbeya. Kimsingi ipo Halmashauri ya wilaya ya Mbalali.
Kuanzia hapo nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo.
 
Ipo ramaniwalitoa watu wa BP. Inaonyesha road distance za Tamzania nzima. Ninayo hard copy. Kaulizie pale BP Kurasini kama bado wanazo(sasa PUMA)

Sidhani kama wanazo hawa PUMA maana hata kabla BP hawajaondoka hizi road maps zilikuwa out of stock kwa muda mrefu tuu
 
Back
Top Bottom