Drivers za window 7


The Dude

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
983
Likes
25
Points
35
The Dude

The Dude

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
983 25 35
Habari wadau?
napataje drivers za windows
7? kuna desktop hapa ina windows xp
proffessional 2002. Nikataka kuweka
kaspersky anti virus, ikasema system
software ni old. Nikawa nataka
kupgrade to windows 7, wakasema
haiwezekani kuupgrade kutoka xp mpk
windows7, labda ufanye clean install.
that means program softwares zote na
applications zinaondoka, pia drivers.
Nimepata cd ya programs..ila hizo
drivers sasa ndio nahangaika
 

Forum statistics

Threads 1,252,023
Members 481,948
Posts 29,793,361