dodoso33
Member
- Oct 9, 2012
- 38
- 11
wakubwa zangu wote shikamoni
naomba msahada wenu wahali na mali katika hili natumia NOTEBOOK aina ya ACER-"ASPIRE ONE" na tatizo langu kubwa ni kwamba ina fail kusoma usb na flash nikichomeka na nikienda kwenye driver status inaniambia WINDOWS HAS STOPPED DUE TO PROBLEM (CODE 43) yani sijui nifanyaje na kama driver ndio tatizo naombe link ambayo nitapata free driver download! Asante wakubwa natanguliza shukrani zangu wote!
Happy new year