Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 452
- 719
Ukiwa na chenye index p ukiapply kazi unajibiwa update cheti chako kiwe na index sKwa nini unasema hivyo mkuu...?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ukiwa na chenye index p ukiapply kazi unajibiwa update cheti chako kiwe na index sKwa nini unasema hivyo mkuu...?
Ukiwa na chenye index p ukiapply kazi unajibiwa update cheti chako kiwe na index s
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ukiwa na chenye index p ukiapply kazi unajibiwa update cheti chako kiwe na index s
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mbona sijaskia watu wakilalamikia hiko kitu mkuu...?
Ajira portal kazi za kada ya chini kama udereva hawataki uwe na overqualification.. kuna dogo nilikuwa namuombea udereva maana hajui computer.. ila ana cheti cha form 4 na cha form 6 anacho pia.. pia leseni anayo yenye madaraja yote.. ana cheti cha NIT na uzoefu wa miaka mingi.. baada ya kumtengenezea profile yake 100% . Kila nikimuombea kazi system inamkatalia amepitiliza vigezo
Jaribu leoMkuu unachosema sidhani kama ni kweli coz hata mimi nna cheti cha Private Candidate lakini nimesha-apply nafasi mara nyingi tu na naitwa kwenye interview mbona...?
Jaribu hata nafasi isiyokuhusu uoneBahati nzuri nilishapita nayo hiyo nafasi inaniletea msg kuwa already applied chief...!
Ngoja nipo kwenye group la Tanzania Drivers ngoja niulizie kama kuna mtu kakutana na hilo suala.
View attachment 1552032
Ajira portal kazi za kada ya chini kama udereva hawataki uwe na overqualification.. kuna dogo nilikuwa namuombea udereva maana hajui computer.. ila ana cheti cha form 4 na cha form 6 anacho pia.. pia leseni anayo yenye madaraja yote.. ana cheti cha NIT na uzoefu wa miaka mingi.. baada ya kumtengenezea profile yake 100% . Kila nikimuombea kazi system inamkatalia amepitiliza vigezo
Nimejaza bado inagoma so niifute ile p niweke s au..kuna sehemu ya kujaza DIVISION na POINT ngapi , ukijaza hizo mambo yakuwa sawa..
Mfano Divison II , POINT 20
mkuu em ntupie link ya hilo group ni joinBahati nzuri nilishapita nayo hiyo nafasi inaniletea msg kuwa already applied chief...!
Ngoja nipo kwenye group la Tanzania Drivers ngoja niulizie kama kuna mtu kakutana na hilo suala.
View attachment 1552032
sawa ukiweka S hautakuwa wewe..Nimejaza bado inagoma so niifute ile p niweke s au..
Aisee hebu ajaribu kuweka hizo index number kwenye mfumo huo walioelekeza hapo kwenye hiyo screenshot uliyoiweka hapo halafu ajaribu tena kuomba tuone kama italeta ujumbe gani...!
Asante nimefanyia kazi ushauri wako tatizo limeishasawa ukiweka S hautakuwa wewe..
Wapigie simu uwaambie tatizo lako, au kama unauwezo nenda pale ofisini kwao
Nimewapigia simu tatizo limerekebishwaHili suala umelijaribu ndugu...?