upo mkoa gani mkuu.kama dar nenda ilala zipo nyingi sana mbonaHabari za kazi
Natafuta drive shaft za mbele za Nissan Xtrail, model CBA-NT31. Wapi naweza kuzipata? bei zake zikoje?
majanga yake ni nn mkuu twambie?? unamiliki kweli hata pikipikihizi gari ni majanga
mwenzio anaulizia spea atapata wapi ww unasema hizo gari ni majanga, kama huna majibu ni bora unyamaze kuliko kuonyesha upumbavu wakohizi gari ni majanga