drive shaft meno 28

drive shaft meno 28

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
668
Reaction score
537
Habari za majukumu wanazengo natumaini muwazima kabisa...

Yapata week sasa ni baada ya kuamua kufanya service gari yangu aina ya suzuki swift 2007
Vifaa vyote vinavyotakiwa vimepatikana kwa urahisi tu shida ni kwenye hiki kifaa (kichwa cha habari) imekua ningumu kukipata ... naomben msaada kwa mwenye nacho au kwa anajua wapi kwa kukipata iko kifaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom