Drive convertion RAW to NTFS.

Drive convertion RAW to NTFS.

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
3,598
Reaction score
1,545
Habari wakuu, naomba msaada katika hili. The laptop was functional (working perfectly)..ila nilipoizima na kuja kuiwasha masaa machache, Local Drive D ilikuwa haionekani, but in Disk Management it says "RAW Disk System"

So, nauliza How do i convert RAW drive (local drive D) to NTFS without loosing data within the drive.

Natanguliza shukrani.
 
hippocratessocrates duh! Jina kama hivi hiyo password itakuwaje? Kuna jamaa ametoa trick kwenye link hiyo ya Kang imenisaidia kwa asilimia 99 ila kuna dos utility inaitwa test disk inabidi udownload amekuwekea na link kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Mkuu Never give up, password is worse...thank you mkuu, ndiyo nataka kujaribu pia, jana nilipata updates pia za World tech forum, was useful..

@ Mkuu Kang, thanks.
 
Back
Top Bottom