Drip irrigation kwa sehemu kubwa ndani ya Nchi yetu imeprove failure hasa sehemu zenye ukame i,e ardhi yenye udongo unaopoteza unyevu haraka na excessive expose of sunlight haiweze kuhimiri vijimatone vya maji ya drip tu. Labda kipindi cha mvua au kwenye ukanda wa baridi kama moshi na iringa lakn sio dar/moro(pwani) utaumia mkuu!
Tumia Faro Mkuu Ni Easiest Way ktk kilimo cha bustani.
Nb ninayeongea, nina uzoefu wa kutosha kuhusu bustani.
asante KISIMA! Mimi nipo Iringa kuna watu wananilimia kwa vijaruba na wanatengenezea miferji ! hii system naona haipo efficient kwa sababu kuna loss kubwa ya maji na mafuta ya pampu yanakwenda ile mbaya ! navuta maji about 1km just imagine ! na shamba ni about 10acre !
Nina mawazo tofauti na Kisima. Drip irrig iko njema na kiujumla inalipa. Tatizo ni kufuata mkumbo kstika matumizi. Ili kuwa na drip system yenye manufaa kuna vitu vingi vya kuangalia. mosi ni kiwango cha maji. pili aina ya udongo, tatu zao husika na nne mahitaji ya maji katika hewa (evaporative water demand). Kusema kuwa dripper zinatoa maji kidogo, si kweli kwani kitundu kimoja kinatoa hadi lita 4 kwa saa. Na iwapo umbali kati ya kitundu na kingine ni cm30, ina maana ktk meta 1 kuna vitundu 3 ambavo vitatoa hadi lita 12 kwa urefu wa m 1. Cha muhimu ni kutafuta aina ya drip inayofaa kwa zao husika, aina ya udongo, nk.
Tatizo la drip systm ni mtaji mkubwa unaotakiwa na pia utaalam. Filters, valves na drip lines na manifolds zake ni ghali iwapo shamba ni kubwa. Mie nina uzoefu mkubwa katika haya mambo, mnaweza niuliza endapo mnataka ufafanuzi zaidi. karibuni
Naomba unifafanulie FARO ndo nini?
Mkuu New world niambie kwanza unataka install drip irrigation ktk mkoa gani ili nikupe advice nzuri.
Faro, ni system ya kulima bustani kwa mifereji na vijaruba kulingana na landscape ya shamba lako. Hii ni nzuri sana na very useful coz is the most easiest and simplified irrigation system. Kwanza inapunguza nguvu kazi na sametime it brings utmost results/yield than driplines. Hata hao balton wanaichukia maana inawaharibia soko la driplines.
Achana na drip mkuu utatumia pesa nyingi kununua na isikusaidie kitu.
Hii ni multipurpose, iwe nyanya,cabbage,melons onions ndo usiseme na kwa wiki unamwagilia mara mbili tu hata kama jua litatunguliwa vipi, unyevu haupotei kirahisi mkuu!
Ndugu Kisima kuna kitu kinaitwa irrigation circle na crop water requrement je wavijua?? Tunapo design drip irrigation system yoyote lazima mambo haya yaangaliwe na hapo ndipo mkulima utashauriwa kitaalamu nini ufanye ili mimea yako ikue salama, unaposema vitone vya maji mpaka ardhi ilowehaitoshi lazima ujue vinawekwa kimpangilio na haya yote yanaangaliwa hata kabla drip system haijawekwa shambani!!sasa mkuu wangu kwenye drip ndo itakucost zaidi make vile vitone vya maji mpaka ardhi ilowane vya kutosha kazi ipo!
Hii nayo si kweli, embu cheki hii....Halafu kwa kilimo cha vitunguu sio rahisi kutumia drip vinginevyo itakugharimu sana kununua materials.
Hili nalo si kweli, unapotaka kuweka drip system hili ndio jambo la msingi ambalo injinia wa umwaliaji anatakiwa angalia, kama injinia siwezi kukushauri ununue pump ambayo utaitumia mda mfupi alafu ife, hakika huo sio uhandisi!! jua kwamba mambo yote haya yanawekwa bayana katika hatua ya ku-design drip irrigation system na hapa ndipo utapo ambiwa pump gani itafaa na gani haitafaa!!kupunguza cost ya mafuta mzee na mashine itaunguruma muda mrefu sana kiasi cha kuichosha kwa kipindi kifupi.
Drip inaweza fanya kazi hata zaidi ya hizo ekari 10!! hakuna mtaalam anayetaka mteja wake apate hasara, kama nilivyosema hapo awali, faida na hasara ya kutumiwa drip inaangaliwa mwanzoni kabisa, na kama ikiwa ni hasara basi mtaalam atamshauri atumie njia nyingine mbadala na bora ili kukidhi matakwa ya mimea shambani.Pia Drip za kutosha ekari 10 si mchezo! utaishia kuwafaidisha hao suppliers wa drip na wewe kupata hasara.
Ndugu Ibra6 inategemea na ukubwa wa eneo lako, katika laterals/ driplines kuna umbali kati ya emitter(kitundu) na emitter, na kulingana na uhitaji wa maji wa mimea kila emitter (kitundu) kina diameter ambayo itatoa maji kwa rate inayo hitajika na mmea!! je kwa kutoboa manually utaweza hakikisha kila kitumndu/emitter kina diameter sawa na ziko na umbali/distance sawa??? kwa kweli ni vigumu!!Vipi ukinunua mipira ya kawaida ukatoboa vitundu mwenyewe ili kupunguza gharama
Ki uhalisia drip irrigation ni aina ya umwagiliaji ulio bora zaidi ya hata hiyo njia ya mifereji!! je una habari kwamba loss ya maji ya kwenye kubwa kuliko njia zote za umwagiliaji? upoteaji wa maji katika umwagiliaji wa mifereji ni mkubwa sana ukilinganisha drip ambayo upoteaji wake ni mdogo sana!!!Mimi nipo Iringa kuna watu wananilimia kwa vijaruba na wanatengenezea miferji ! hii system naona haipo efficient kwa sababu kuna loss kubwa ya maji na mafuta ya pampu yanakwenda ile mbaya ! navuta maji about 1km just imagine ! na shamba ni about 10acre !
Nadhani una maanisha furrow irrigation system. Hii ni njia ambayo kitaalamu iko katika kundi la surface irrigation, katika njia hii ya umwagiliaji, ardhi ina mwagiliwa kwa kutumia mifereji na mara nyingi hakuna mekanizim ya kumwagilia maji ni kwa kutumia kani mvutano (force of gravity). Ni njia ambayo ni common sana na ni njia ambayo imetumiwa na jamii toka kipindi icho!!
Sasa mkuu New world je unaijua nature ya ardhi yako? kabla hujatumia njia hii lazima ujue kwenye udongo wa mchanga (sand soils) njia hii haitafanya vizuri, na je upatikanaji wa maji sehemu ulipo ni wa uhakika? kama upatikanaji wa maji sehemu ulipo ni shida siwezi kukushauri hii njia maana inahitaji maji mengi na upoteaji wa maji kwa mvuke (evaporation rate and percolation losses) ni mkubwa sana!!
Mkuu Kisima unaposema drip irrigation ina fail sehemu nyingi unamaanisha nini? kwa ninavyojua ni kwamba drip irrigation ndiyo njia ya umwagiliaji ambayo ni bora(water application efficiency and water conveyance efficincy) zaidi kuliko hata hiyo furrow/mifereji achilia mbali umwagiliaji wa sprinkler!!! ina kua ngumu kidogo kumshauri mtoa mada maana hajawa muwazi kuhusu eneo na upatikanaji wa maji ukoje!!!
Je nini ufanye kabla huja install drip irrigation system yako?
1. Uwe na pump
2. Chanzo cha uhakika cha maji(maji ni muhumu yakawa masafi)
3. Jua aina ya mazao unayotaka kuotesha na uhitaji wa maji wa mimea (Crop water requirement)
4. Jua aina ya udongo wa shamba lako
5. Kipato chako pia (cost or/and capital)
Ndugu Kisima kuna kitu kinaitwa irrigation circle na crop water requrement je wavijua?? Tunapo design drip irrigation system yoyote lazima mambo haya yaangaliwe na hapo ndipo mkulima utashauriwa kitaalamu nini ufanye ili mimea yako ikue salama, unaposema vitone vya maji mpaka ardhi ilowehaitoshi lazima ujue vinawekwa kimpangilio na haya yote yanaangaliwa hata kabla drip system haijawekwa shambani!!
Hii nayo si kweli, embu cheki hii....
View attachment 217865
source: intenet
Ki uhalisia drip irrigation achilia mbali kuwa bora kuliko njia nyingi za umwagiliaji ila ni njia ambayo inafit kwenye mazao mengi sana!!
Hili nalo si kweli, unapotaka kuweka drip system hili ndio jambo la msingi ambalo injinia wa umwaliaji anatakiwa angalia, kama injinia siwezi kukushauri ununue pump ambayo utaitumia mda mfupi alafu ife, hakika huo sio uhandisi!! jua kwamba mambo yote haya yanawekwa bayana katika hatua ya ku-design drip irrigation system na hapa ndipo utapo ambiwa pump gani itafaa na gani haitafaa!!
Drip inaweza fanya kazi hata zaidi ya hizo ekari 10!! hakuna mtaalam anayetaka mteja wake apate hasara, kama nilivyosema hapo awali, faida na hasara ya kutumiwa drip inaangaliwa mwanzoni kabisa, na kama ikiwa ni hasara basi mtaalam atamshauri atumie njia nyingine mbadala na bora ili kukidhi matakwa ya mimea shambani.
Ndugu Ibra6 inategemea na ukubwa wa eneo lako, katika laterals/ driplines kuna umbali kati ya emitter(kitundu) na emitter, na kulingana na uhitaji wa maji wa mimea kila emitter (kitundu) kina diameter ambayo itatoa maji kwa rate inayo hitajika na mmea!! je kwa kutoboa manually utaweza hakikisha kila kitumndu/emitter kina diameter sawa na ziko na umbali/distance sawa??? kwa kweli ni vigumu!!
Ki uhalisia drip irrigation ni aina ya umwagiliaji ulio bora zaidi ya hata hiyo njia ya mifereji!! je una habari kwamba loss ya maji ya kwenye kubwa kuliko njia zote za umwagiliaji? upoteaji wa maji katika umwagiliaji wa mifereji ni mkubwa sana ukilinganisha drip ambayo upoteaji wake ni mdogo sana!!!
USHAURI.
Kabla ya kuamua kutumia drip au njia nyingine ya umwagiliaje
-ni nyema ukajua chanzo chako cha maji je ni cha uhakika??
-Ujue aina ya mimea
-Asili ya udongo (nature of soil)
-Je ardhi ikoje? ni tambarare au mwinuko? (Topograph)
-Je kwa eneo lako, utatumia umeme au motor/generator (Availability of power)!! hasa kama unataka tumia sprinkler, drip irrigation, center pivot system na nyingine kama hizo.
Baada ya kupata hayo, NNACHOWEZA KUSEMA NI KWAMBA JAPO INAHITAJI GHARAMA (INITIAL COST) KUBWA KIDOGO, DRIP IRRIGATION NI AINA YA UMWAGILIAJI AMBAYO IKO BORA ZAIDI KUSHINDA NJIA AMBAZO UNAZIJUA ZA UMWAGILIAJI, ni vyema, kabla hujaanza ku-install drips ukapata ushauri wa kitaalamu ili upate ubora na mavuno mengi kupitia njia hii!!
NB: wataalamu waumwagiliaji, achilia mbali makampuni au watu binafsi, pia unaweza pata wilayani au irrigation zones ambazo nna uhakika kayika mikoa mingi zipo.
cc Capital [B chasha[/B] poultry farm Chasha Poultry Farm Sabayi na wana jf wengine, karibuni kwa mawazo zaidi!!
LORDVILLE.
Yes Drip inaendana na aina ya aina ya udongo sasa kuna mtu anaweza funga drip halafu hajapima hata udongo, Drip Irigation kwa nchi kama Kenya inatumika sana, na ndo Irrigation pekee inayo tumia kiwango kidogo sana cha maji that is why Israel wanaitumia sana.
Hapo naungana na wewe 100%. Ni kweli drip irrigation ina hitaji mtaji mkubwa (initial cost) kulinga na ukubwa wa shamba lako na aina ya mimea!! lakini kwa kawaida unafuu wake utauona katika kui-operate (nadhani hapa na wewe utakua mshaidi kama kui operate ni gharama au la).Wakuu Sabayi LORDVILLE etc sijasema kuwa system hii haifai, ila tatizo kuu lipo kwenye installation costs na ukinzani wa hali ya hewa kwa nchi yetu inaweza ikakufanya uichukie technology hii. Binafsi niliumizwa nayo nikatokea kuichukia totally completely! Kuongea kwa nadharia ni rahisi sana, ila utakapoingiza kwenye vitendo na mambo kwenda divyo sivyo hapo ndo shida inapoanzia. Mi naona faida kuu ya driplines ni kudhibiti upotevu wa maji, ulishaji mzuri wa chakula kwa mmea i.e mbolea na wepesi wa kumwagilia eneo kubwa kwa wakati.
Kwanza pole kwa yaliyo kukuta. Ila Katika shughuli ya umwagiliaji (irrigation) tunaamini kwamba mahitaji ya maji (water/moisture use rate or consumption) ya mmea yanakua juu kipindi cha jua/joto kali na kipindi (stage) mmea unakua hasa unapoanza kukua!! na kama maji yatahijika zaidi ni wazi kwamba hata nguvu (power) ya kuyaleta shambani pia itahitajika zaidi!! LABDA NIKUULIZE TU SWALI, JE HIYO SYSTEM YAKO ILIWEKWA NA MTAALAMU?? kwa hiyo kesi yako ni jambo ambalo lilibidi lionekane katika hatua ya ku-design system yako, na hapo ndipo kitaalam ungeshauriwa utumie pump ya aina/uwezo gani.Ila ktk kipindi cha jua kali shughuri ya kupozesha ardhi kwa drip si mchezo! mafuta yanatumika mengi sana ukilinganisha na local method ya furrow(gravity) irrigation.
Anyway, kwa mtu aliyejiandaa vyakutosha na pesa ipo basi afanye installation ya driplines ila kibongobongo na soko lenyewe hili la ajabu, nachelea kurudisha gharama kwa msimu mmoja inaweza kukata mtaji na kukufanya ukichukie kilimo mazima!
Hapo naungana na wewe 100%. Ni kweli drip irrigation ina hitaji mtaji mkubwa (initial cost) kulinga na ukubwa wa shamba lako na aina ya mimea!! lakini kwa kawaida unafuu wake utauona katika kui-operate (nadhani hapa na wewe utakua mshaidi kama kui operate ni gharama au la).
Kwanza pole kwa yaliyo kukuta. Ila Katika shughuli ya umwagiliaji (irrigation) tunaamini kwamba mahitaji ya maji (water/moisture use rate or consumption) ya mmea yanakua juu kipindi cha jua/joto kali na kipindi (stage) mmea unakua hasa unapoanza kukua!! na kama maji yatahijika zaidi ni wazi kwamba hata nguvu (power) ya kuyaleta shambani pia itahitajika zaidi!! LABDA NIKUULIZE TU SWALI, JE HIYO SYSTEM YAKO ILIWEKWA NA MTAALAMU?? kwa hiyo kesi yako ni jambo ambalo lilibidi lionekane katika hatua ya ku-design system yako, na hapo ndipo kitaalam ungeshauriwa utumie pump ya aina/uwezo gani.
Kwa kuongezea tu ni kwamba mafuta lazima yatumike mengi maana maji yanaihitajika mengi na wenda unaipa kazi ya ziada pump yako hasa kipindi cha joto!! na hili si kosa la drip irrigation bali ni tatizo ambalo lilibidi lionekane katika hatua za mwanzo kabisa za system yako (design stage)!!