Dreva wa mkuu wa wilaya ya Same aliyeiba mafuta Puma!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,804
Naomba kuuliza, hivi huyu dreva alieiba mafuta ya laki na 80 kituo cha mafuta Sinza na kukamatwa akikimbia ni mzaliwa wa mkoa gani?
Hongereni wananchi kwa kumkimbiza na kumkamata japo alikuwa na kruza la mkuu wa wilaya!
Dah! Bonge la aibuuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni dereva wa mkuu wa wilaya wa Same, bwana Daniel ametoweka na gari la mkuu wa wilaya wa same bwana Heriman kapufi mara baada ya kujaziwa mafuta ktk kituo cha mafuta cha Puma cha Sinza bila kulipa.

Huku akiwa na gari la serikali likipeperusha bendera ya taifa letu aliingia ktk kituo hicho cha mafuta na kujaziwa mafuta kisha kutoweka bila kulipa na pindi wasamalia wema walipo mkimbiza walifanikiwa kumkamata..
 
Dereva wa gari ya mkuu wa wilaya ya Same amejikuta katika wakati mgumu baada ya kwenda kituo cha mafuta cha puma kilichpo Sinza kutiliwa mafuta na kuondoka bila kulipa.

Dereva huyo ameshikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi.Kiasi alichotakiwa kulipa ni 180,000/=

Source ITV News
 
Nimeisikia kwa mbali sana itv.
Kwanini aliamua kuondoka bila kulipa?
Kulikuwa na mgogoro wowote pale kituoni...(sehemu ya kujazia mafuta)...?
 
Dereva wa mkuu wa wilaya ya same akamatwa akikimbia baada ya kuiba mafuta katika kituoa cha mafuta puma sinza;dereva huyo kwa jina daniel mchome akiendesha gari la serikali namba stk 8807; tukio hilo limejitokeza baada ya dereva huyo kuwekewa mafuta ya laki na themanini kisha kukimbiza gari akitoweka bila kulipa ndipo wauza mafuta wakapambana nae mpaka wakamdhibiti akakamatwa; wakati tukio hilo likitokea mkuu wa wilaya yaani bosi wake hakuwemo kwenye gari hilo; baadae dc huyo alifika eneo la tukio na kusikitika sana kijana wake akitaka kupiga pesa kupitia gari hilo; jamani intarahamwe noma wanakaba mpaka penalti jamani
 
Dereva wa mkuu wa wilaya ya same akamatwa akikimbia baada ya kuiba mafuta katika kituoa cha mafuta puma sinza;dereva huyo kwa jina daniel mchome akiendesha gari la serikali namba stk 8807; tukio hilo limejitokeza baada ya dereva huyo kuwekewa mafuta ya laki na themanini kisha kukimbiza gari akitoweka bila kulipa ndipo wauza mafuta wakapambana nae mpaka wakamdhibiti akakamatwa; wakati tukio hilo likitokea mkuu wa wilaya yaani bosi wake hakuwemo kwenye gari hilo; baadae dc huyo alifika eneo la tukio na kusikitika sana kijana wake akitaka kupiga pesa kupitia gari hilo; jamani intarahamwe noma wanakaba mpaka penalti jamani,source itv
 
Nimecheka kweli hiyo taarifa na boss wake naye kamruka kimanga,
 
Ni fundisho kwa wote wenye vitou vya mafuta kuwa makini wanapowajazia wenye magari.

huyu dereva wa mkuu wa wilaya ya Same akiwa hapa Dar baada ya kujaziwa diesel ya zaidi ya shilingi laki moja pale stesheni ya PUMA iliyopo Sinza yeye akaamua kutimua bila kulipa na shangingi la STK, kufika Sinza makaburini wananchi waliokuwa wakimfukuza wakafanikiwa kumkamata na kumrudisha kituo cha mafuta. Bosi wake anadai alimpa pesa ya kujaza mafuta, lakini jamaa akaona aitie mfukoni halafu atumie ubabe kupate mafuta.

Sijui kama huko same ndio mchezo wake au vipi.

Bila shaka huyu dereva atakuwa na chembechembe za ujambazi mwilini.
 
Nimeisikia kwa mbali sana itv.
Kwanini aliamua kuondoka bila kulipa?
Kulikuwa na mgogoro wowote pale kituoni...(sehemu ya kujazia mafuta)...?

hamna lolote yule dogo wa kichaga aliona dada wa sheli anashangaa akatia gia gari
 
Kweli za mwizi ni Arobaini, walishazoea kutumia vivuli vya serikali kupora ns kubeba magendo km yule aliyekamatwa na pembe za ndovu
 
Ni aibu na fedheha sana. Waliyozoea kufanya gizani leo wanayatoa hadharani.

Vetting ni muhimu sana kwa waajiriwa hawa.
 
Hao ndio watu wanaojali muda. We umejaza mafuta njoo dirishan uchukue pesa yako unaanza kuuza mafuta kwa wengine nani akusubiri?

Viva vivenda Mr Driver wanaboa sanaa.!
 
daah intarahamwe wamecharuka haswaa..... wamemaliza zile za EPA na Escrow?
 
Naomba kuuliza, hivi huyu dreva alieiba mafuta ya laki na 80 kituo cha mafuta Sinza na kukamatwa akikimbia ni mzaliwa wa mkoa gani?
Hongereni wananchi kwa kumkimbiza na kumkamata japo alikuwa na kruza la mkuu wa wilaya!
Dah! Bonge la aibuuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

ukishajua itakusaidia nini wewe??
 
Dereva wa mkuu wa wilaya ya same akamatwa akikimbia baada ya kuiba mafuta katika kituoa cha mafuta puma sinza;dereva huyo kwa jina daniel mchome akiendesha gari la serikali namba stk 8807; tukio hilo limejitokeza baada ya dereva huyo kuwekewa mafuta ya laki na themanini kisha kukimbiza gari akitoweka bila kulipa ndipo wauza mafuta wakapambana nae mpaka wakamdhibiti akakamatwa; wakati tukio hilo likitokea mkuu wa wilaya yaani bosi wake hakuwemo kwenye gari hilo; baadae dc huyo alifika eneo la tukio na kusikitika sana kijana wake akitaka kupiga pesa kupitia gari hilo; jamani intarahamwe noma wanakaba mpaka penalti jamani,source itv

Habari kama hii katu huwezi kuipata TBC zaid kule utakutaana na mbio za mwenge,
 
Dereva wa mkuu wa wilaya ya same akamatwa akikimbia baada ya kuiba mafuta katika kituoa cha mafuta puma sinza;dereva huyo kwa jina daniel mchome akiendesha gari la serikali namba stk 8807; tukio hilo limejitokeza baada ya dereva huyo kuwekewa mafuta ya laki na themanini kisha kukimbiza gari akitoweka bila kulipa ndipo wauza mafuta wakapambana nae mpaka wakamdhibiti akakamatwa; wakati tukio hilo likitokea mkuu wa wilaya yaani bosi wake hakuwemo kwenye gari hilo; baadae dc huyo alifika eneo la tukio na kusikitika sana kijana wake akitaka kupiga pesa kupitia gari hilo; jamani intarahamwe noma wanakaba mpaka penalti jamani

Wezi ni wezi tu!
 
kapata aibu mno!!yaani sijui kama gari itaendesheka na bos pembeni,,hizi njaa njaa ndo chanzo cha kuaibika.
 
wewe siyo mtu wa mbio za mwenge unafuataga nini TBC1 - anyway sielewi iweje jamaa ajaze mafuta halafu atimue, au alikula hela za mafuta? Foleni itakuwa imezingua
Habari kama hii katu huwezi kuipata TBC zaid kule utakutaana na mbio za mwenge,
 
Dereva wa mkuu wa wilaya ya same akamatwa akikimbia baada ya kuiba mafuta katika kituoa cha mafuta puma sinza;dereva huyo kwa jina daniel mchome akiendesha gari la serikali namba stk 8807; tukio hilo limejitokeza baada ya dereva huyo kuwekewa mafuta ya laki na themanini kisha kukimbiza gari akitoweka bila kulipa ndipo wauza mafuta wakapambana nae mpaka wakamdhibiti akakamatwa; wakati tukio hilo likitokea mkuu wa wilaya yaani bosi wake hakuwemo kwenye gari hilo; baadae dc huyo alifika eneo la tukio na kusikitika sana kijana wake akitaka kupiga pesa kupitia gari hilo; jamani intarahamwe noma wanakaba mpaka penalti jamani,source itv

Wanashangaa nini wakati maboss wake wamepiga tena 200 Billioni pale BoT.... ?
 
Back
Top Bottom