Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Ghana??? Mbona naona gari la precision air hapo?Mwalimu wa shule huko Ghana katika ubora wake akiuza matikiti maji View attachment 250404
Ghana??? Mbona naona gari la precision air hapo?
Hongera zake,anaithamini kazi yake
Na anau
za sanaaa 100% profit anapata kwa u smart tu mpaka wamemzoea watu
Safi sana, hata mimi ningemnunuza maana anaonekana smart.