Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

TATIZO SIO KWENDA HUKO SUDAN ILA TATIZO NI KUPAKI DEGE KUBWA LA MAPESA MENGI
 
Itarudi na Abria? Ikirudi tupu hasara iwapo tu wanalipa. Kama hawalipi haina maana
 
Mbona hawana silaha au kulinda amani kunahitaji marungu tu
 
Vilevile Mhandisi Matindi aliongeza kuwa Ndege ya Dream Liner ina uwezo wa kusafiri kwa saa 12 bila kusimama, hivyo kwa kutumia saa tatu kusafiri kutoka hapa mpaka nchini Sudan ni sehemu ndogo ya Uwezo wake na ni nafasi ya kuwajaribisha watendaji wa Ndege wa ATCL katika kuhudumia safari Ndefu.

Hiyo para nmeelewa, maana ila kwa gharama Ni upumbavu kutumia ndege yetu maaana inaenda kurudi tupu,(wakati UN watakuwa wamelipia kwenda TU)........
 
Imerudi na wajeda wengine 211..
 
Kwani China na India hatuendi tena
 
Hao wanalipiwa mkuu ticket! Na ikiwapeleka huko inarudi na wale wa mwanzo. hivyo ni sawaa imekodiwa, Sababu haina route ya huko.
 
kwa hyo kupanda tu ndio kuunga juhudi?
 
Safi Baba Dr John Pombe Magufu, wabane hapo hapo Mafisadi hadi washike adabu 2020 nakupa kura yangu kiroho safi kama sethuji..

Nunua tena nyingine 2 cash tumepeleke jeshi hadi somalia likalinde aman...

Email yangu baba Dr John Pombe Magufuli..
usinisahau kwenye teuzi..

Kichwanazi121@Gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…