Waaah! :smow:Nakupongeza sana kwa vision yako, ww ni mnajimu!!! Huo ndio mwelekeo wa vua gamba!!! Lkn je Dr William Shija vp! Binafsi naamini ikitokea hivyo watz kwa mara yakwanza watashuhudia serkali ya kitaifa kama ilivyokuwa kwa Mandela !!! yaani DOUBLE-SS (Sitta-Slaa) kwa sababu wote wako serious !!! ukizingatia ni Standard and Speed (SS) hapo ndipo tunaweza kusema tanzania yenye neema tele inawezkana!! Hoja hazijengwi kwa maandamano ya cdm wala mipasho ya ccm!!!! CUF wameonyesha njia dialogue/nagotiation is best way of maintaining tranquility. WE NEED TO LEAVE IN TANZANIA IN PEACE NOT IN PIECES!!!!!Nilikaa nikawaza tu,
Mwaka 2010 niliamka asubuhi na mapema na kumpigia kura Dk. Willibrod Slaa wa CHADEMA kuwa Rais wa Tanzania. Yaliyotokea kwenye uchaguzi huo wote tunajua na tulishuhudia jinsi kura zetu zilivyoibiwa na Jakaya Kikwete wa CCM akatangazwa Rais kwa kura za wizi.
Uchaguzi wa 2015 bado uko mbali. Sijui kama Dk. Slaa atagombea tena au la. Pia ni dhahiri kuwa kuna uwezekano mkubwa tu kuwa mgombea wa CCM mwaka 2015 akatangazwa tena kuwa Rais by any means necessary. Maandamano ya kudai katiba mpya haraka yako wapi? Tume ya kupitia katiba mpya mpaka leo haijaundwa, bado kuna referendum inatakiwa ifanyike nk. Sitashangaa uchaguzi wa 2015 ukifanyika chini ya katiba hii hii na mambo yakawa yale yale.
Viongozi wa upinzani wako "bize" kutumika (knowingly and unknowingly) kwenye kampeni ya kuwasaidia mapacha watatu (Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge) wasifukuzwe kutoka CCM.
Kutokana na hayo yote, imenibidi niangalie uwezekano wa CCM kuutwaa Urais tena 2015.
Wangeteuliwa (ingawa najua haiwezi kutokea) viongozi hawa hapa wa CCM kwenye nafasi hizi nyeti, kwa kweli ningepata wakati mgumu wa kufanya maamuzi kama niipigie tena kura CHADEMA au nihamie CCM safari hii:
(The CCM Dream Team)
Rais wa Tanzania -- Samuel Sitta
Makamu wa Rais -- Omar Yusuf Mzee
Waziri Mkuu -- John Magufuli
Waziri wa Nishati na Madini -- Dr. Harison Mwakyembe
Waziri wa Maliasili na Utalii -- Prof. Anna Tibaijuka
Waziri wa Kilimo -- Dk. Enos Bukuku
Waziri wa Fedha -- Dr. Asha-Rose Migiro
Waziri wa Mambo ya Nje -- Bernard Membe/Juma Mwapachu
Waziri wa Viwanda na Biashara -- Ali Mufuruki
Watanzania wangepewa chaguo la Rais wao kuwa Dk. SLAA au SITTA, mpenda maendeleo yoyote angeweza kusema yoyote atakayeshinda Urais ni sawa tu.
Ila Tanzania si taifa lenye bahati. Limekuwa na nuksi ya kutawaliwa na watawala wabovu na iliwahi kupata viongozi watatu tu wa kujivunia -- Mwalimu Juliua Nyerere, Edward Sokoine na Abeid Karume.
Ingekuwa timu ya mpira, Tanzania ningeifananisha na ARSENAL FC ya Uingereza. So much potential, so much promise lakini si rizki. Ni ugonjwa wa moyo tu... Wacha niendelee kuota!
hebu nenda dom mkuu...ukirudi usome ulichokiandika.
unfortunately siamini katika SITTA....it is very unfortunate jamani!
mix with yours
Nilikaa nikawaza tu,