Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

Sioni tofauti kati ya Magufuli na Lyatonga zama zake. Ni mbio za sakafuni tu. Siku moja mtaniambia. Angekuwa jabari asingefanya kazi chini ya Kikwete so to speak. Mie naona kama anganga njaa sawa na magamba wengine. Sioni uzuri wake iwapo aliuza nyumba za umma chini ya Mkapa.
 
Watanzania kweli bado tuna safari ndefu. Juzi tu mlikuwa mnazipinga safari za JK nje ya nchi, na huyu mnayempigia simtank yeye alizisifu na kwenda mbali kwa kumwambia JK kuwa aongeze safari za nje. Sasa akichaguliwa si atahamia hukohuko kwa wazungu?? Mmesahau machungu ya wao kujiuzia nyumba za serikali kwa bei ya kutupa na huyu bwana yeye aliupigia sana debe huo mpango na yeye kujimegea za kwake? Acheni ujinga, be great thinkers!
 
Iwe isiwe Magufuli chini ya ccm hapati kitu kwa Dr.slaa chini ya chadema,na ndo maana magamba wanaomba Mungu cdm wamptshe zito ask why utapata majbu.
 
hamna kitu,uyo jamaa anaweza tuu huko kwenye wizara, ana sifa ya kuwa meneja,ana sifa ya kuwa na nyadhifa za kijeshi ila kuwa rais wa tanzania..!taratibu nyie, sio rational, amekosa busara, ni arrogant, sio mvumilivu..siasa za kisasa tunahitaji kiasi democracy ila huyu amekua na maamuzi ya top down, anapenda sifa sana ndio maana haoni maana tanroad kujenga barabara ndani ya halmashauri/manispaa ambazo tunazitumia kila siku anapend zile ambazo zitampa sifa kila kukicha..uyu ni mjanjamjanja na msipokua makini watanzania wengi mtaingia katika mtego huu wa kudhani ni mtu anaeweza kuisaidia tanzania... Ushauri wangu ccm sio chama kinachoweza kutusaidia tena,kilifanya kazi nzuri huko nyuma kwa sasa tukipige substation benchi kipo chama kinda kina hasira na maendeleo ya watanzania nacho ni cdm hebu tukipe nafasi

m4c forever.
 
magamba hamna chenu tz hii kwasasa kama yeye ndo mnazani anaweza kuwatoa kimasomaso mbona arumeru mlipata hola,na igunga si mlichakachua nyambafu.

mbona ushindi wa kata 22 CCM walizo shinda husemi,Chadema iliambulia 5! Nyie Chadema mna matamanio ya 2015 lakini kipigo kama cha 2010 kipo kikubwa zaidi mtasema kura zimechakachuliwa!
 
Back
Top Bottom