adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,800
Wewe tafuta gemu la kucheza tu maana ukija kwangu unachapika kama mtoto mdogo wala sisumbuki kabisa kama kwa wengine.Kikosi changu kipo vizuri,wanyweshe maji mengi vikatuni vyako kama unaweza