Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Tuma Kikos nikushauri
Screenshot_20240819-160308.png
 
Acha Yan tumecheza nae kaona Bora atake advantage kuna videmu vilikuwa vinatuma text Yeye anafunga ila bado sn Kijana hajajua anachangamoto
Ila mwamba unayumba unachat sana na Mademu mda wa kazi (DLS) tokea long nimekusoma , kama wanakumbua muda wa gemu set "focus mode" una izuia app ya message text zinakuwa hazifiki au tupasie namba za hao Mademu tuwaeleweshe.
 
Setting zote zipo na ukiwa utaik usumbufu kabsa weka focus unachagua app ambazo utak ziwe active muda huo. Kuhusu mademu ndy wanatuoka kwny Moja na mbili Kakah lzm tuwazingatie
 
Wakuu nifundisheni jinsi ya kudrible naona wachezaji pinzani sometimes wakiwa na mpira wanampita beki wangu chap kwa spidi Kali.

Cc : MrJobless DR SANTOS Selikavu
Swala la kudrible Mi sijuagi Mi na focus na Pass za chap plus Njia za kushambulia kupitia Mfumo husika na Kingine namna ya kujua udhaifu qa Mfumo wa Mpinzan
 
Back
Top Bottom