Dream League Soccer Special Thread

Habarri ya majukumu? Ukiacha na dls 2024 ni game gani zaidi zuri La mpira kucheza kwenye ram ya 4 ?? Natanguliza shukrani kwa msaada
 
Soon nataka nianze kutoa Elimu ya DLS
mjipange tu maana huku network imekuwa Jay na Mith sn kuwafundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…