Siku hizi kuna aina nyingi za mafuta ya kusokotea ,usitumie WAX nyeupe huwa inawasha kwani kuna original na feki yake.Mimi saloon ninayousokotea hawatumii yale mafuta meupe wana design nyingine.Pia jaribu kubadilisha mafuta ya kupaka ya ngozi wakati anakusokota akupake.Stiming inaruhusiwa tena nzuri ukiweza kufanya na product ya steaming nzuri.Mimi natengenezea hapa Tangi Bovu darajani huwa wanafanya vizuri kwa kweli kama upo Dar!Mimi nina mwaka na miezi nane sasa.