DRC waanza kutumia Robot

DRC waanza kutumia Robot

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kituo cha Tv cha Tv1 kimeripoti kua nchi ya Congo imeanza teknolojia ya kutumia Robot kuongoza watumiaji wa barabara nchini humo,

Mpango huo umeonyesha mafanikio makubwa ya kupunguza foleni na uvunjifu wa sheria za barabarani kwani marobot yameunganishwa na mfumo wa electronic unaowanasa wanaokiuka sheria za barabarani.

JE kwetu Tanzania tuna mipango gani.
 
Inasemekana dreva wa mabodaboda wanawapoza waongoza magari ili wasababishe foleni ili wapate wateja hiyo tekinoloji lazima waipige vita make itawakosesha kipato
 
Kwahiyo hapa kwetu wakiweka maroboti watayavunja makusudi.
 
Unemployment ni ipo njian hapo

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kituo cha Tv cha Tv1 kimeripoti kua nchi ya Congo imeanza teknolojia ya kutumia Robot kuongoza watumiaji wa barabara nchini humo,

Mpango huo umeonyesha mafanikio makubwa ya kupunguza foleni na uvunjifu wa sheria za barabarani kwani marobot yameunganishwa na mfumo wa electronic unaowanasa wanaokiuka sheria za barabarani.

JE kwetu Tanzania tuna mipango gani.

Nini uelewa wako kuhusu "robot" za kuongoza watumiaji wa barabara?.......mbona robot zipo bongo ila features tu ndio zinatofautiana.....kuna robot zilizounganishwa na camera au loop detectors nk nk.......Traffic laws zikiwekewa mkazo hakutakuwa na upuuzi wa daladala....leave alone other road users.......
 
Sioni umuhimu wa hilo "robot", traffic lights zetu zinatosha sana zikiwekwa kwenye mfuo mzuri na ziwe zinafanya kazi muda wote, subiri hiyo robot usiku wanazi wakaibebe watimke nayo mbiyo ndiyo watajua!
 
Science and technology...
Sasa ss sijui tutaanza century ya ngp
 
Kwa Tz traffic robots ziko toka zamani. Mleta mada afafanue tofauti ya traffic robots za DRC name za tz
 
Kituo cha Tv cha Tv1 kimeripoti kua nchi ya Congo imeanza teknolojia ya kutumia Robot kuongoza watumiaji wa barabara nchini humo,

Mpango huo umeonyesha mafanikio makubwa ya kupunguza foleni na uvunjifu wa sheria za barabarani kwani marobot yameunganishwa na mfumo wa electronic unaowanasa wanaokiuka sheria za barabarani.

JE kwetu Tanzania tuna mipango gani.

Utakua umeelewa vibaya,huku Congo DRC hizo taa za kuongoza magari kama ndizo wanaziita ROBOT,
Mm waliwahi kunikamata mwaka jana ndipo nilipojua kua hizo ndio wanaziita.
 
Mkuu naona umesoma kwenye news! Robot ni traffic light, Zambia, Zimbabwe Congo nk traffic light wanaita robot.
 
Nini uelewa wako kuhusu "robot" za kuongoza watumiaji wa barabara?.......mbona robot zipo bongo ila features tu ndio zinatofautiana.....kuna robot zilizounganishwa na camera au loop detectors nk nk.......Traffic laws zikiwekewa mkazo hakutakuwa na upuuzi wa daladala....leave alone other road users.......

Binafsi nadhani tofauti kubwa iliyopo ni kwamba hii robot ya Congo imetengenezwa na ma engineers wazawa, tofati na za kwetu. Ni mfano mzuri wa kuigwa na nchi zote Afrika.
 
unaweza kutuwekea picha mkuu......au wanaziitaje hizo robot zao?....kama hilo ndio suala.....it is very interesting to know..........wamefanya kitu gani tofauti na teknolojia zilizopo.......
 
Ogah, ngoja niitafute video yenyewe.
 
Ogah, hii ndio video yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hii video inatuonyesha ni vipi elimu inaweza kutumika kubadilisha maisha ya mwanadamu. Robot na traffic lights zipo chungu tele Dunia. Lakini pale inapoundwa na ndugu yako, rafiki yako, au jirani basi hutia faraja sana moyoni. Unaweza kumaliza vyuo vya Computer Engineering bila hata kuwa na motisha ya kutengeneza an App ya kawaida ya kuwasaidia binadamu wenzako, lakini huyo mwanamama anaonyesha jinsi gani penye nia hapakosi njia.
 
Kwa kweli it is very interesting......hongera zake yule engineer mwanadada......
 
Last edited by a moderator:
unaweza kutuwekea picha mkuu......au wanaziitaje hizo robot zao?....kama hilo ndio suala.....it is very interesting to know..........wamefanya kitu gani tofauti na teknolojia zilizopo.......

Screen-Shot-2014-05-13-at-12.13.59-AM.png

taa zinazotumika kuongozea magari DRC...
Screen-Shot-2014-05-13-at-12.13.50-AM.png

Kutoka Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo, mji wa Kinshasa una wakazi zaidi ya milioni kumi sawa na mara mbili ya Dar es salaam ambapo ili kuondoa msongamano na kuepusha zile ajali ndogondogo za mara kwa mara uongozi wa jiji hilo umeamua kuweka aina hii ya taa za barabarani.
Screen-Shot-2014-05-13-at-12.13.40-AM.png

Robot hizi zinatumia umeme wa jua ambapo huwa zinafanya kazi saa 24 huku zikiwa na camera pia ili kurekodi kila tukio ikiwemo mwenendo wa magari.
Screen-Shot-2014-05-13-at-12.13.16-AM.png

Robot hizi pia zimewezeshwa kuweza kufanya baadhi ya vitu kama binadamu au kama askari wa usalama barabarani anavyofanya ikiwemo kunyanyua mkono kuongoza magari na kutoa sauti (kuongea) kwenye kuvusha watu.
Screen-Shot-2014-05-13-at-12.13.02-AM.png

Kingine kizuri ni kwamba hizi taa zimetengenezwa na Mainjinia wa hapohapo Congo DRC waitwao WITECH ONG.
Screen-Shot-2014-05-13-at-12.12.51-AM.png

nk
Screen-Shot-2014-05-13-at-12.13.25-AM.png
 
Back
Top Bottom