Ndio maana watanzania tunahimizwa kutunza na kuenzi amani tuliyonayo kwa gharama yeyote Ili amani iwepoNimeona jana foreign ministers wa nchi zote mbili jana wakipewa coins mbili mbili na mwandishi toka Africa, target ya USA ni madini Congo sijaona kipya
Amani Ikivurugika au kupotea gharama ya kuirudisha ni kubwa mno