kusaini mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Hafla ya kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Bwawa la Farkwa

    Waziri Wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema ujenzi wa bwawa la Farkwa ni mpango kabambe wa Serikali kuondosha changamoto ya maji kwa wakazi wa jiji la Dodoma na maeneo jirani. Amesema hayo mwishoni mwa wiki katika hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa bwawa la Farkwa katika kijiji cha...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sweden kusaini Mkataba wa Ufadhili wa Dola Bilioni 10 kwa Tanzania kuwezesha Mradi wa SGR

    Taasisi za mikopo ya mauzo nje za Sweden (Sweden’s export-credit institutions) zinatarajiwa kukamilisha makubaliano ya ufadhili kwa sehemu za tatu na nne (Lots 3 na 4) za reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) Aprili 28 jijini Dodoma. Hatua hii inaelezwa na pande zote kama hatua muhimu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tumaini la amani DRC baada ya Serikali na M23 Kusaini Mkataba wa awali Usitishaji Mapigano

    Baada ya miaka mingi ya machafuko na maelfu ya raia kutawanywa makwao, tumaini jipya limeanza kuchomoza mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo imefikia makubaliano ya awali na waasi wa M23 – kundi ambalo mara kwa mara limekuwa likituhumiwa kupata msaada kutoka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania DRC Congo na Rwanda Kusaini Mkataba wa amani leo

    Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa Kongo ambapo mzozo huo umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kusababisha mateso makubwa kwa raia wa kawaida katika maeneo...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusaini mkataba wa mauziano ya kiwanja nikiwa mbali?

    Kiwanja kipo mbali na mkoa ninaoishi kwa sasa. Nina mtu atakayenisaidia kupokea hela kwa ajili ya malipo, au ninaweza nikaweka kwenye akaunti ya muuzaji kama ataona sawa. Changamoto yangu ni kuwa ninataka jina langu na sahihi yangu kama mnunuzi ionekane kwenye mkataba huo. Siyo kwamba siwaamini...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukienda Marekani kusaini mkataba na viongozi wao inakubidi uwe makini sana

    Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
Back
Top Bottom