Yaan kuna watu kama
Travis Scott,post Malone,wale,future sijui design ya kina takashi sijui wanaimbaga nini hata mafans wao naona ni wahuni tu.
Wataendelea kulalamika wanabaguliwa na wazungu hawawezi kusikiliza upuuzi
Mkuu ukiwa namuda mfuatilie Jamaa hatari. Sikiliza Sunflower akiwa na Swae Lee au RockStar ft 21 Savage au mkwajua wa Congratulation akiwa na Quevo au skiliza Circle jamaa nomaaaa