Drake Vs Kendrick Lamar

Nao huwa maneno ya khanga
 
So kendrick ni nomaa?
Noma ila drake nae ni noma kwa upande wake don't get it twisted
Kwenye upande wa pop culture drake yuko vizur
ila upande wa lyrics Kendrick yuko vizuri
Lakini tena ukimsikiliza drake wa zaman wa 6 am in toronto yule wa worst behavior
Kidogo yule hata lyrically unaweza kumcompare na kendrick...
So for the time being

Drake namkubali ana'inspire black people kuwa nasisi tunaweza ku'succeed kumiliki ma jets kama yeye na kusimamisha mimbo kwenye billboard charts na even tho yeye ni black he has made it and so anaonesha progess ya racism kupungua------- lakini pia

Kendrick namkubal anawakilisha true hip hop na black suffering kwamba although yeye ni star hajasahau true roots na kuwa the problems of discrimination are still persistent...na kuwa kuna watu broke chini ambao hawawezi kuwa juu kwasababu ya system na rangi yao.
 
Mkuu unatisha sana. Lkn Album za Kendrick huwa zinashika sana Machati pale USA
 
Kama ni kweli msanii mbovu kwanini asichanwe live?
Tatzo la wa africa mkiambiwa ukweli mnaona mnanyanyaswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kendrick mbona haachii kazi .. Nadhani tangu album Yake ya Damn sijui kama ametoa project nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…