Kasikilize ngoma ya lil pump inaitwa Gucci gangHapa sasa nimekuelewa
Sijakusoma mkuu yani?Nikijifungia ghetto ukute nipo peke yangu halafu nilifungulie jimbo LA Drake Enemy we najifeel km na mm nipo kule Frizzy badman wewe yule cruial nigga achana nae kabisa
Kuna lyricists kwenye trap akina kodak black atleast 21 savageMziki wao wa Trap bhana dah
Ni sawa kwa mtazamo wako ila kwangu namuweka kundi moja na kina takashi 69
Post Malone mtoe huyo jamaa hatari ukiwa na muda mfuatilie hata 21 Savage hamgusiKuna lyricists kwenye trap akina kodak black atleast 21 savage
ila mumble rappers sasa ndo kama
Lil pump,tekashi69,post malone,lil yatchy,lil uzi etc.
Kisa mzungu sioPost Malone mtoe huyo jamaa hatari ukiwa na muda mfuatilie hata 21 Savage hamgusi
Kwani Kendrick Mzungu?Kisa mzungu sio
Ukweli hata huyo 21 savage na kodak siwasikiliziPost Malone mtoe huyo jamaa hatari ukiwa na muda mfuatilie hata 21 Savage hamgusi
Sawa mkuuUkweli hata huyo 21 savage na kodak siwasikilizi
Mimi nasikiliza big sean,eminem,lil wayne,drake,Kendrick lamar,jcole,jay Z na watu wa design iyo
Hizi za mzuka kuruka na maspika ni ngoma chache chache nasikiliza ila sio kumfuatilia mtu kwasababu wengi hawana consistensy mi personally naona congratulations na sunflower ni ngoma za kawaida sana at least ata rockstar
Kwa mumble rappers kuna zaidi ya migos?Sawa mkuu
Siwaelewagi kidogo QuevoKwa mumble rappers kuna zaidi ya migos?
Huyu jamaa sijui washkaj wanampendea nini asee.Katika mumble rappers huwez kumuacha na yeyeKisa mzungu sio
Kwani Kendrick Mzungu?
Sikiliza Post Malone ft Swae Lee__Sunflower.
Post Malone ft 21Savage_Rockstar
Post Malone ft Young Thung__Good Bye(hatari hii)
Post Malone ft Quevo__Congratulation
Post Malone__Circle
Sikiliza hizo5 Tu utajua balaa Lake..Mtu alieingiza Album mbili kwenye Top 10 Album of Decade pale USA si mchezo
Well said mumble rappers...Huyu jamaa sijui washkaj wanampendea nini asee.Katika mumble rappers huwez kumuacha na yeye
Una maanisha nini unaposema Mumble?Well said mumble rappers...
Asap rocky kwenye potato salad anakuambia
"Then i think about the state of rapping,
All the freshmen in the classes,
Mumbling and rapping,mumble rapping??
I find it hard to find actual talent,
I find it hard to find an actual challenge"
Una maanisha nini unaposema Mumble?
Chris BrownNani zaidi kati ya Drake na Kendrick Lamar katika Hip Hop??
Nyinyi waafrika mnashindwa nini kumbeba Kendrick lamar ?Drake hana lolote zaidi ya kubebwa na wazungu but kendrick yupo good yaan nazungumzia kuanzia kwenye uandishi na anatoa vitu konk sana nazani hili swali ukimuulza Barack Obama atakuelezea kwa ufasaha zaidi
Over
Drake anabebwa na Clouds media au sio ?