Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 286
- Thread starter
-
- #21
HahahaYaan watu kuna watu kama
Travis Scott,post Malone,wale,future sijui design ya kina takashi sijui wanaimbaga nini hata mafans wao naona ni wahuni tu.
Wataendelea kulalamika wanabaguliwa na wazungu hawawezi kusikiliza upuuzi
Allstar akiwa na SZA ni nomaaa saana!Msikilize kendric japo kwenye all stars,usikie anavyonata..
Drake nyota ya kupendwa tu,ila hiphop anayofanya hamkuti Kendric..
Post Malone mkali mzeeYaan kuna watu kama
Travis Scott,post Malone,wale,future sijui design ya kina takashi sijui wanaimbaga nini hata mafans wao naona ni wahuni tu.
Wataendelea kulalamika wanabaguliwa na wazungu hawawezi kusikiliza upuuzi
Yaah..naikubali sanaAllstar akiwa na SZA ni nomaaa saana!
huyo jamaa noma sikiliza hii Good Bye ft Young ThungPost Malone mkali mzee
Ni sawa kwa mtazamo wako ila kwangu namuweka kundi moja na kina takashi 69Post Malone mkali mzee
Mkuu ukiwa namuda mfuatilie Jamaa hatari. Sikiliza Sunflower akiwa na Swae Lee au RockStar ft 21 Savage au mkwajua wa Congratulation akiwa na Quevo au skiliza Circle jamaa nomaaaaNi sawa kwa mtazamo wako ila kwangu namuweka kundi moja na kina takashi 69
Fresh mkuu ngoja nisklize ngoma zake nyingine ambazo sijaziskia labda atanishawishiMkuu ukiwa namuda mfuatilie Jamaa hatari. Sikiliza Sunflower akiwa na Swae Lee au RockStar ft 21 Savage au mkwajua wa Congratulation akiwa na Quevo au skiliza Circle jamaa nomaaaa
mziki mzuri ni lyrics mkuu au?namkubali Drake, yuko ki soft-core na ki hard-core, anaimba na kuchana, kama Kanye vile
Drake pia anafaa kwenye Chorus kuimba kawaida ( Aston Martin ya Ross feat Drake ) na pia akachana mwishoni
ila kwenye content(Lyrics) aisee, Kunta ni moto, ni Lyricist hatari sana
Nashindwa kuelewa kama Lamar ni noma why kwenye mauzo ana kalishwa na Drake?All in all kendrick ninoma sana Drake akasome ila kimauzo hiyo ni habari nyingine
Nikama huyo jamaa alivyosema hapo juu mfano ukisikia ngoma za tamaduni music ni noma sana zaidi ya sana lakini mauzo mabovu lakin ukisikia album ya country boy niyakiwak lakn saiv ina trendNashindwa kuelewa kama Lamar ni noma why kwenye mauzo ana kalishwa na Drake?
Basi uchawi upoNikama huyo jamaa alivyosema hapo juu mfano ukisikia ngoma za tamaduni music ni noma sana zaidi ya sana lakini mauzo mabovu lakin ukisikia album ya country boy niyakiwak lakn saiv ina trend
Gem ya saiv imechange so watu hawatak message wanataka flavorNashindwa kuelewa kama Lamar ni noma why kwenye mauzo ana kalishwa na Drake?
Hapa sasa nimekuelewaGem ya saiv imechange so watu hawatak message wanataka flavor
Yah wapo kundi moja (muble rappers)Ni sawa kwa mtazamo wako ila kwangu namuweka kundi moja na kina takashi 69
Mziki wao wa Trap bhana dahYah wapo kundi moja (muble rappers)
ila wale mtoe hapo
Nikijifungia ghetto ukute nipo peke yangu halafu nilifungulie jimbo la Drake Energy we najifeel km na mm nipo kule Drizzy badman wewe yule cruial nigga achana nae kabisaMsikilize kendric japo kwenye all stars,usikie anavyonata..
Drake nyota ya kupendwa tu,ila hiphop anayofanya hamkuti Kendric..