Drake Vs Kendrick Lamar

Drake hana lolote zaidi ya kubebwa na wazungu but kendrick yupo good yaan nazungumzia kuanzia kwenye uandishi na anatoa vitu konk sana nazani hili swali ukimuulza Barack Obama atakuelezea kwa ufasaha zaidi
Over
 
Ubaguzi how?
Kuna siku nilimsikia wale anasema alkua mtaan akakutana na jamaa mmoja mzungu akamwambia iv na wewe unajiita msanii una usanii gani sasa wasanii nikama wakina j.cole yaan Kuna ka ubaguz flan iv kwa wasanii black
Pia juz kati nilisikia travis nae anasema alisimamishwa na mzungu mmoja iv afu anamwambia yaan wewe ata ukipiga show ndani kwangu siwez kuja kukutazama hata kidogo
 
Dah kumbe
 
Travis Scott?? Mbona jamaa anakimbiza sana tena zaid hata ya Kendrick (kimauzo) i dare to say
 
Kimziki kendrick anamzidi drake although drake naye akiamuaga kukaza sio wa kubeza....lakini kimauzo drake anamzidi Kendrick

Ni sawa na hapa bongo kina country boy young lunya na chinbiz wanavowazidi tamaduni music kimauzo
 
Saiv hata county boy anamzid fidq kwa ma viewers
 
Travis Scott?? Mbona jamaa anakimbiza sana tena zaid hata ya Kendrick (kimauzo) i dare to say
kuna kitu ujue najiuliza yani watu wengi waojua mziki wana kwambia Kendrick ni nyoko kwenye hip hop lkn mauzo anazidiwa na kina Travis Daah
 
Kimziki kendrick anamzidi drake although drake naye akiamuaga kukaza sio wa kubeza....lakini kimauzo drake anamzidi Kendrick

Ni sawa na hapa bongo kina country boy young lunya na chinbiz wanavowazidi tamaduni music kimauzo
Umefikiri mkuu.
 
Yaan kuna watu kama
Travis Scott,post Malone,wale,future sijui design ya kina takashi sijui wanaimbaga nini hata mafans wao naona ni wahuni tu.
Wataendelea kulalamika wanabaguliwa na wazungu hawawezi kusikiliza upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…