Nilianzishaga thread ya hichi kipindi but sikupata wadau wakutoshaKweli kabisa Kiongozi.
Kumbe na Wewe ulikuwa na Maradhi na hiki Kipindi kama mimi🙂.
Kusema ukweli hiki kilikuwa ni moja ya Kipindi cha Luninga ninachokikubali sana.
Nimefurahi sana, kukutana na Mpenzi mwenzangu wa Kipindi chetu pendwa.
Ngoja nikukumbushe kidogo.
Hapo ndio Wahusika wakuu wamesharudi vacation, wanasubiri kukabidhiwa FUNGUO zao za Mjengo.
WADAU wanaanza,
"Move that BUS"
"Move that BUS"
"Move that BUS"
TY anaingilia kati na kuanza kusema,
BUS DRIVER!
MOOOOOVE THAT BUUUS.
BUS likashasogezwa hiyo CRIB utakayoiona hapo huwezi amini kama ndio ilikuwa MBAVU zako za MBWA.
Kipindi kilikuwa kitamu sana Kiongozi
Sikubahatika kuuona huo UZI.Nilianzishaga thread ya hichi kipindi but sikupata wadau wakutosha
Uzi huu hapa kiongoziSikubahatika kuuona huo UZI.
Mimi ningekuwa ni mmoja wa Wadau wa UZI huo.
Kiongozi,
Kama hutojali unaweza kuuweka huo UZI hapa ili nipate kuupitia/kusafisha macho, lengo ni kutaka kujua maudhui ya UZI.
Nafahamu namna ya kuupata huo UZI kwenye Profile yako tatizo naona uvivu kufukunyua.
Kiongozi kama utapata Muda, tupia hapa
Shukran sana Kiongozi.
kweli aisee,,, mi mwenyew mara ya kwanza Naitzama hii vdeo nltoa chozi,,,Niliitazama hii video nikahisi machozi yananilenga
Headlines and hello bringStarted from the bottom, one of my favourite banger from this niqqa.
Hello bring=hotline blingHeadlines and hello bring
Diplomatic immunity ya nani?Hio Gods plan ni kali kinoma video yake hadi raha..
Diplomatic immunity nayo ni moto wa kuotea mbali..
Ya drakeDiplomatic immunity ya nani?
Na mimi nilitaka kumjibu hivyo hivyoAcha kumfananisha Kendrick na mambo ya kijinga..!!!
Yupo kwenye kwaresma ndio maana anajitoa vilekwa aina ya michano nayoipenda mimi drake hayupo,sema napenda alichoimba na video.anaonekana ana utu sana
Kwan amei release lini?kweli aisee,,, mi mwenyew mara ya kwanza Naitzama hii vdeo nltoa chozi,,,
Good work,,, hii ngoma pia imekuwa mainstream sana toka imetoka imevunja record kwenye apple's music
January katikati,,, alirelease EP yenye ngoma mbili,,, SCARY EP,,,God's plan na Diplomatic immune ikiwa ni diss track kwa sababu Joe BuddenKwan amei release lini?
Hiv dreezy ana beef na the weeknd?January katikati,,, alirelease EP yenye ngoma mbili,,, SCARY EP,,,God's plan na Diplomatic immune ikiwa ni diss track kwa sababu Joe Budden
Ni uzushi tu uliokuwepo lakini wawl hawa hawana beef,,, na ilithibtishwa kuwa hawana beef baada ya Thr Weekend kushot video yake ya Reminder ambayo Drake aliuza sura,,, moja ya vdeo ambayo imejaa mastaa kbao akiwemo Asapy Rocky, YG, Montana,Drake,Mike Will Made It, Bryson Tiller, Travis Scot,,, so vdeo hyo baada ya kutoka ikaondoa uvumi uliokuepo kuwa wanabeefHiv dreezy ana beef na the weeknd?