Draft

Bingwa hapa baada ya kete mbili kusukuma nakuwa nishakufunga
 
upo wap bingwa wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa nipo kigamboni. ..kuna watu Kama akina juma mchafu ,jet leee hawa wote mabingwa Wa draft kwa hapa Tanzania lakin wakisikia jina la MAKOTI wananiogopa na watajificha siku hiyo wakiambiwa nimefika hicho kijiwe.... Ntafute Mimi Ni bingwa Wa mabingwa... Ukicheza kete moja tuuu nakupa matokeo ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kete 1 kitu kisichowezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mchezo mm nachezaga bila formula. Najikuta nme mfunga kibonde au nimefungwa.

Hebu nipe hints, jinsi ya kujipamga kwa formula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar yoote na majirani wake hamnaga mchezaji wa draft.

Nikishatokaga na medani yangu hapo jiji la kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…