DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Si ulisema walisoma wote na Mangwelele chuo cha draft pamoja?
Wanahisi hivo tu

Sema huyu jamaa anasomeka Hadi rank za kimataifa kwenye French na British Lile King hairuki

Sisco jana Alisema hana ulazima wakumfunga jamaa goli , baada yakutolewa sare 3 kwenye lile la kawaida ambalo yeye ni kiboko
 
Ni sababu zipi zilifanya akashauriwa aache draft?
Aliwahi kuumwa nadhani ni kichwa walivyo mpeleka hospitali madaktari wakaiambia familia yake kuwa huyu kuna kitu huwa anakifanya kwa kutumia nguvu kubwa kufikiria

Mangwelele akamuambia daktari kuwa ni magazeti, familia yake ikamfata dokta kumwambia kuwa amedanganya sio magazeti ni madraft

Tangia hapo akashauriwa aachane nayo madraft yanaweza kumfanya awe chizi
 
Hatari
 
Back
Top Bottom