DRAFT MINING ACT 2009 & Intelligence briefs

b. There are seems to be a new political horizon emerging as we enter the new year. Within the past few hours we have been alerted on the possibility of "something big" to happen soon. As far as we could gather our intelligence it seems what is going to happen has to do with the recent confrontation between the members of Mwalimu Nyerere Foundation and some CCM's cadres. So, lets watch carefully what is going to unfold. We might be witnesses to a the most transformative event of our time that will reshape the political spectruam and ideological make up of our nation. It'll be interesting to behold.

Lets wait and see,isije ikawa ni kama fisi anapodhani mkono wa binadamu uko tayari kunyofoka saa yoyote simply coz mkono huo "unaning'inia."

The transformative event certainly should definetly be about the people and not neccessarily the differences btn the political powers unless there is some sort of a coup or revolution....If its simply about political power,then si ndio hao hao JK aliwashinda?Ama CCM has changed?Kuna anyejua for sure?Coz if thats the case then hata hao CHEDEMA wakiendelea kugombana who cares?
 
Thanks very much Mr Enigma for this important and highly researched info.Wishing you merry christmas & happy new year.
 
Section 8(2) na (3) vinazungumzia citizen kupewa leseni lakini katika interpretation section 3 haija-define citizen ni yupi? na hakuna popote sheria inapoturuhusu kutumia interpretation toka sheria nyingine.
Wasiwasi wangu hapo ni kuchukulia mkaazi yeyote kuwa ni citzen au kuchukua mtu mwenye dual citizenship kuwa citizen. Nashauri watu wenye uraia wa nchi mbili wasiruhusiwe kwani hawa ni vigeugeu, na sheria ya uraia itumike kikamilifu.

Section 19(1) na (3) :Rais amepewa madaraka makubwa sana ya kumteua commissioner na deputy commissioner, na hakuna chombo cha kumuuliza juu ya uteuzi huo. Huu ni udhaifu mkubwa.
Napendekeza kuwepo na chombo cha kuidhinisha uteuzi wa commissioner, na uteuzi wa deputy wake ufanywe na chombo kingine tofauti na rais

Nitaendelea kuchambua
 
Wana CCM walivyo waoga?? Can't see anybody leaving CCM, alteat siyo hiki kizazi!!!

Kwa mambo yanavyokwenda sioni woga tena kama tulikotoka. Miaka 5 iliyopita mwana CCM gani angeweza kumwambia Sumaye Jambo achilia mbali Mkapa?

Mwanadamu ameumbwa tofauti na kiumbe kingine chochote, hata kama atavumilia sana, mwishoni anadata na uamuzi wake ndio hubadilisha mambo. Sioni ukiwepo umbali wa kuthubutu ndani ya ccm, naamini ni karibu sana sana kuliko tunavyoweza kutarajia!
 
Wana CCM walivyo waoga?? Can't see anybody leaving CCM, alteat siyo hiki kizazi!!!

Wakiondoka watakula wapi? Ukiwa mwanachama wa CCM naona kama kupe tu hawana lolote.

Jamani hii sheria wapewa ufadhili kuitengeneza. Aibu kubwa kubwa kubwa. I hate CCM!
 
Section 8(2) na (3) vinazungumzia citizen kupewa leseni lakini katika interpretation section 3 haija-define citizen ni yupi? na hakuna popote sheria inapoturuhusu kutumia interpretation toka sheria nyingine.
Wasiwasi wangu hapo ni kuchukulia mkaazi yeyote kuwa ni citzen au kuchukua mtu mwenye dual citizenship kuwa citizen. Nashauri watu wenye uraia wa nchi mbili wasiruhusiwe kwani hawa ni vigeugeu, na sheria ya uraia itumike kikamilifu.

Section 19(1) na (3) :Rais amepewa madaraka makubwa sana ya kumteua commissioner na deputy commissioner, na hakuna chombo cha kumuuliza juu ya uteuzi huo. Huu ni udhaifu mkubwa.
Napendekeza kuwepo na chombo cha kuidhinisha uteuzi wa commissioner, na uteuzi wa deputy wake ufanywe na chombo kingine tofauti na rais

Nitaendelea kuchambua

Unapendekeza? Habari ndo hio hio. Muemail Dr. Slaa labda.
 
i1282_untitled.JPG

teh teh teh...
 
Back
Top Bottom