Dr. Zakir Naik Ndani ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Zakir Naik Ndani ya Tanzania

Discussion in 'Matangazo madogo' started by X-PASTER, Apr 23, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Asalaam Alaykum!

  Dr Zakir Naik wa Peace TV ya India yupo nchini Tanzania na atakuwa na mhadhara siku ya Ijumamosi tarehe 25/04/09 katika ukumbi wa Starlight kuanzia saa 2 asubuhi. Walengwa ni wasomi, wafanyakazi, wafanyabiashara, wanafunzi na wadau mbalimbali.

  Kwa maelezo zaidi soma Gazeti la Annuur siku ya Ijumaa tar 24/04/09.

  Kwa taarifa hii mnaomba kuwaarifu na waislam wengine. Lugha ya mawasiliano ni Kiingereza.


  Ujumbe huu nimeutoa kwa niaba ya Katibu wa TAMPRO Br Pazi Semili
  (0754 654900).


  [​IMG]

  X-PASTER
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  InshaAllah tutafikisha ujumbe kwa wengine. Allah (SW) ajaalie mhadhara uwe ni miongoni mwa chanzo cha kuwaongoa watu wafuate mafundisho yake. Kila la heri waandaaji TAMPRO na Mujahid Semili.
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  USIPOTOSHE WATU ALIYEKO TANZANIA NI Nisaar Nadiadwala
  Nisaar Nadiadwala ( India )
  A trainer in panel discussions, debates and public speeches for the past 8 years from Mumbai, India
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  tafadhali mkuu wale ambao wapo nje ya tanzania hawatapata fursa ya kumuona 'ulamaa' huyu hivyo usiache kutuhabarisha kitakachojiri katika muhadhara huo. Vilevile naomba TEMPRO kama ratiba itaruhusu "alimu" huyu atembelee zanzibar kule na kutoa muhadhara katika chuo kikuu cha zanzibar (suza) na ZU - tunguu.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wasiliana na Katibu wa TAMPRO Br Pazi Semili
  (0754 654900).

   
Loading...