Dr. Willibrod Slaa: Propaganda haziwafikishi mbali, msema kweli ni mpenzi wa Mungu

Kama unafanya kazi yako kwa uhakika kwani Uwe Na hofu???

Sina hofu hata kidogo. Kazi yangu inapimwa katikati ya mwaka na mwisho wa mwaka. Nna Uhuru wa kutoa mapendekezo, kuchukua maamuzi sahihi yaliyondani ya job description yangu ili kuboresha au kuongeza ufanisi na tija kwenye kazi yangu.

Tukirudi kwenye mada, viongozi wa serikali wanafanya kazi utafikiri wanasubiria kuteuliwa kumbe wanaogopa kutumbuliwa. Wanashindwa kutekeleza wajibu wao hats kwa Yale wanayoamini yanatakiwa yafanyike. Wanachofanya ni kushindana kutoa matamko tu.
 
Kwa aina ya mkuu tuliyenae safari hii kinachotawala ni hofu na woga. Weledi, uelewa, ufanisi tunaweka kando, nguvu kubwa tunaielekeza kutafuta namna ya kutoa matamko ya kumfurahisha.
Hivi hawa wanaosema serikali ya matamko ni vipofu/ viziwi? Maana hapa hakuna matamko, ni vitendo tu! na vitu vinaonekana! Wamatamko ni mnaoshinda jfm kupambana na juhudi kubwa inayofanywa na serikali kwa maendelio ya wananchi Watanzania
 
Stupidity at your best, Hata Nyerere hakuacha ombwe lolote, life goes on as usual, ije kuwa huyo mbulu mpumbafu aliyeshuntamishwa na kahaba Kwa kulaghaiwa na pesa za wavuja jasho?
Can't you think deeper? who sponsors his stay in Canada?
because he never sought for asylum out there, he left for Canada just as a normal person and not a politician,
So who enters his entire living expenditures in Canada? since he works not in the country.
Unampa sifa Huyo Lipumba A za kijinga kabisa.
Mimi pia kuna mambo ambayo sikupendezwa nayo kwa Dk Slaa muda mfupi kabla ya uchaguzi mkuu 2015, lakini bado nina mheshimu na katika andiko lake lililoko hapa anathibitisha alivyo muhimu katika siasa za nchi yetu. Gambo anapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote maana anafanya michezo ambayo inadhalilisha hata mteuzi wake, ninaposema mteuzi wake ninamaanisha ile taasisi ya urais!
 
Neno mpumbafu siyo tusi bali ni sifa, Mpumbafu ni mtu asiye na hekima Kama Dr Slaa na kahaba siyo tusi bali ni mwanamke mwenye tabia chafu za kubadilisha katiba wanaume.
Hakuna mahali nimetukana, jibu hoja ya msingi, Dr Slaa aliondoka kwenda Canada Kama raia wa kawaida tu baada ya kuachana na siasa.
Huko Canada hana kazi anayofanya ili kumwingizia kipato cha kuweza kuishi.
Sasa anatoa wapi pesa za kumfanya aishi muda wote tangu asaliti mabadiliko?
Angelikuwa mkimbizi wa kisiasa tusingelihoji, maana angetunzwa na serikali ya Canada, that happens once your asylum application is acceptable.
Jibu lipo wazi ccm walimhonga mabilioni Kwa Sababu alikuwa na nguvu za kisiasa.
Nyie watu mpo tayari kufanya tukio lolote hata ikibidi mauaji ili ccm iweze kutawala.
Na ni wajinga tu ndo wanaipenda ccm, those people whose mind is like donkey.
mtu mwenye akili timamu huwezi kuwa ccm hata Siku moja.
Mkuu nakukumbusha tu hapo kwenye nyekundu kua hata magufuli ni ccm sasa ngoja waje wale wa makosa ya mtandao hapo ili uwathibitishie kua muheshimiwa hana akili timamu.
 
Stupidity at your best, Hata Nyerere hakuacha ombwe lolote, life goes on as usual, ije kuwa huyo mbulu mpumbafu aliyeshuntamishwa na kahaba Kwa kulaghaiwa na pesa za wavuja jasho?
Can't you think deeper? who sponsors his stay in Canada?
because he never sought for asylum out there, he left for Canada just as a normal person and not a politician,
So who enters his entire living expenditures in Canada? since he works not in the country.
Unampa sifa Huyo Lipumba A za kijinga kabisa.

You shouldn't be an expert member for such provocative behavior.I don't believe if its you who utters such a rubbish words.Lets use this fora to amplify and analyse issues but not attacking peoples ideas by insulting them.Moderator plz through out if you see such stupid articles.
 
Dr.Slaa! heri ya mwaka mpya,hebu 2pe kidogo mshndo nyuma juu ya huu utawala ulioko sasa hata kama ulikisalit chama,je mwendo anaoenda nao sizonje wakubana kila idara na mambo mengne ya kiutawala yuko sahh? kuwa huru na tema cheche kwa ufasaha! wape hi huko canadana.
 
Stupidity at your best, Hata Nyerere hakuacha ombwe lolote, life goes on as usual, ije kuwa huyo mbulu mpumbafu aliyeshuntamishwa na kahaba Kwa kulaghaiwa na pesa za wavuja jasho?
Can't you think deeper? who sponsors his stay in Canada?
because he never sought for asylum out there, he left for Canada just as a normal person and not a politician,
So who enters his entire living expenditures in Canada? since he works not in the country.
Unampa sifa Huyo Lipumba A za kijinga kabisa.
inawezekana wewe ni mmoja ulie pata mgao kutoka kwa lowasa ili kuuziwa chadema na apate kugombea urais, kusimamia ukweli kwa slaa sio kuhongwa bali anajielewa yeye ni mtu sio nyumbu.
 
Sina hofu hata kidogo. Kazi yangu inapimwa katikati ya mwaka na mwisho wa mwaka. Nna Uhuru wa kutoa mapendekezo, kuchukua maamuzi sahihi yaliyondani ya job description yangu ili kuboresha au kuongeza ufanisi na tija kwenye kazi yangu.

Tukirudi kwenye mada, viongozi wa serikali wanafanya kazi utafikiri wanasubiria kuteuliwa kumbe wanaogopa kutumbuliwa. Wanashindwa kutekeleza wajibu wao hats kwa Yale wanayoamini yanatakiwa yafanyike. Wanachofanya ni kushindana kutoa matamko tu.
Jibu kumbe unalo mwenyewe kwamba ukiwa umeajiriwa unapaswa ufanyeje.

Hofu lazima watakua nao kwani wengii wao wanajua walichokifanya na raisi nae alisha toa kauli yake kwamba atawatumbua na hili ni zoezi zuri kwani litafanya wengi wao waogope huko mbeleni.. siku za nyuma watu walikua wanajichotea tu.
 
1) Nimekuwa Mbunge miaka 15. Ninafahamu msingi 10% ya Mapato ya Halmashauri kutolewa kwa mikopo kwa Wanawake na Vijana. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa haihusiki kwa lolote. Mkuu wa Mkoa hupewa katika Bajeti ya Mkoa Tsh.10Millioni kusaidia miradi ya Wananchi pale anapokuwa na ziara mbalimbali. Mamilioni yanayosemwa kutolewa na Mkuu wa Mkoa ni uwongo na upotoshaji uliokithiri.

2) Fedha za Mikopo kwa Makundi ya Wanawake na Vijana ni Rebolving Fund, ambayo inasimamiwa na Halmashauri husika. Mchakato, tangu kuchambua, kuwapa elimu, kuwafuatilia hadi fedha kurudishwa ni kazi ya Halmashauri husika kupitia Idara husika ya Halmashauri.
Mkuu wa Mkoa hahusiki. Ni Wehu na kuingiza siasa mahali pasipostahili kwa kuwa matokeo yake ni kufanya hizo fedha zisiweze kurudishwa.
Nimekutana sana na matukio ya aina hiyo wakati nikiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa.
Aidha, Halmashauri ambazo nazo zilikuwa hazitengi fedha hizo asilimia 10% Watendaji wake tulikuwa tukiwapiga wao wenyewe faini. Hivyo Mrisho Gambo asiwapotoshe Watanzania. Vita vyake na Lema isije ikaathiri utendaji kazi wa mifumo ya Serikali iliyowekwa siku nyingi.

Mpango huo wa kuzitaka Halmashauri kutenga fedha ulianza Wakati Kingunge Ngombale Mwiru akiwa Waziri wa TAMISEMI. Propaganda anazofanya Mrisho Gambo ni za kitoto sana, bahati mbaya katika nchi hii ninajua mengi, na hakuna wa kunidanganya. Hivyo, mbuyu uitwe tu mbuyu. Huu mchezo anaofanya Mrisho Gambo ndio unaozidi kupandisha watu hasira kama alivyotaka kufanya wakati wa Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto.

3) Meya, sikutetei kwa kuwa ni Halmashauri ya Chadema. Ninasimamia ukweli. Wananchi wa Arusha sio wote wa Chadema. Hata wasio Chadema wanahaki na fedha hizo kwa kuwa wote walipiga kura na hivyo wote wana haki ya kunufaika na kura zao. Meya, chapa kazi bila ubaguzi wa aina yeyote. Simamia ukweli, simama penye haki, Mungu atabariki, lakini usikubali laana ya ubaguzi kwa kuwa unashindana na huyo ambaye hajui mipaka yake ya kazi.

4) Fedha 10% za Halmashauri zinaongezewa pia fedha kutoka Hazina kupitia kinachoitwa " Fidia ya vyanzo vya usumbufu". Hizo ndizo nadhani Mrisho Gambo anaziita fedha za TAMISEMI. Wizara ya Tamisemi kama msimamizi wa Serikali za Mitaa, ni daraja tu, lakini fedha za fidia zinaidhinishwa na Bunge la JMT kwa lengo la kuzirudishia Halmashauri fedha kutoka vyanzo ambavyo 2002 vilichukuliwa na Serikali Kuu. Ninavyoelewa hakuna utaratibu mwingine uliofanyika. Hivyo hizo fefha ni kodi ya Watanzana wote na Mrisho Gambo hana haki yoyote ile ya kuzifanyia Propaganda za Kisiasa.

Manispaa ya Arusha tembeeni kifua mbele kutimiza ahadi yenu, na ninaziomba mamla zote za Halmashauri zitimise ahadi zao ili Watanzania wote bila kujali itikadi zao wanufaike. Mungu Ibariki Tanzania. Mungu wabariki Wanyofu wa moyo wanaotekeleza majukumu yao kwa kadiri ya mapenzi yako na siyo matakwa binafsi ta mtu mmoja mmoja.
Wachane baba tena waambie kuwa Cyo watanzania wote hatujui mema na mabaya.
 
Tatizo ni kuwa hata akisema ukweli kiasi gani, Daktari Slaa amekwishapoteza credibility na moral authority ya kuzungumzia/kuusemea upinzani. He is finished. Ni watu wasiokuwa namaadili-kiasa wanaoweza kuunga mkono harakati au kauli zake. He is a political hyena, period.
 
1) Nimekuwa Mbunge miaka 15. Ninafahamu msingi 10% ya Mapato ya Halmashauri kutolewa kwa mikopo kwa Wanawake na Vijana. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa haihusiki kwa lolote. Mkuu wa Mkoa hupewa katika Bajeti ya Mkoa Tsh.10Millioni kusaidia miradi ya Wananchi pale anapokuwa na ziara mbalimbali. Mamilioni yanayosemwa kutolewa na Mkuu wa Mkoa ni uwongo na upotoshaji uliokithiri.

2) Fedha za Mikopo kwa Makundi ya Wanawake na Vijana ni Rebolving Fund, ambayo inasimamiwa na Halmashauri husika. Mchakato, tangu kuchambua, kuwapa elimu, kuwafuatilia hadi fedha kurudishwa ni kazi ya Halmashauri husika kupitia Idara husika ya Halmashauri.
Mkuu wa Mkoa hahusiki. Ni Wehu na kuingiza siasa mahali pasipostahili kwa kuwa matokeo yake ni kufanya hizo fedha zisiweze kurudishwa.
Nimekutana sana na matukio ya aina hiyo wakati nikiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa.
Aidha, Halmashauri ambazo nazo zilikuwa hazitengi fedha hizo asilimia 10% Watendaji wake tulikuwa tukiwapiga wao wenyewe faini. Hivyo Mrisho Gambo asiwapotoshe Watanzania. Vita vyake na Lema isije ikaathiri utendaji kazi wa mifumo ya Serikali iliyowekwa siku nyingi.

Mpango huo wa kuzitaka Halmashauri kutenga fedha ulianza Wakati Kingunge Ngombale Mwiru akiwa Waziri wa TAMISEMI. Propaganda anazofanya Mrisho Gambo ni za kitoto sana, bahati mbaya katika nchi hii ninajua mengi, na hakuna wa kunidanganya. Hivyo, mbuyu uitwe tu mbuyu. Huu mchezo anaofanya Mrisho Gambo ndio unaozidi kupandisha watu hasira kama alivyotaka kufanya wakati wa Kituo cha Afya cha Mama na Mtoto.

3) Meya, sikutetei kwa kuwa ni Halmashauri ya Chadema. Ninasimamia ukweli. Wananchi wa Arusha sio wote wa Chadema. Hata wasio Chadema wanahaki na fedha hizo kwa kuwa wote walipiga kura na hivyo wote wana haki ya kunufaika na kura zao. Meya, chapa kazi bila ubaguzi wa aina yeyote. Simamia ukweli, simama penye haki, Mungu atabariki, lakini usikubali laana ya ubaguzi kwa kuwa unashindana na huyo ambaye hajui mipaka yake ya kazi.

4) Fedha 10% za Halmashauri zinaongezewa pia fedha kutoka Hazina kupitia kinachoitwa " Fidia ya vyanzo vya usumbufu". Hizo ndizo nadhani Mrisho Gambo anaziita fedha za TAMISEMI. Wizara ya Tamisemi kama msimamizi wa Serikali za Mitaa, ni daraja tu, lakini fedha za fidia zinaidhinishwa na Bunge la JMT kwa lengo la kuzirudishia Halmashauri fedha kutoka vyanzo ambavyo 2002 vilichukuliwa na Serikali Kuu. Ninavyoelewa hakuna utaratibu mwingine uliofanyika. Hivyo hizo fefha ni kodi ya Watanzana wote na Mrisho Gambo hana haki yoyote ile ya kuzifanyia Propaganda za Kisiasa.

Manispaa ya Arusha tembeeni kifua mbele kutimiza ahadi yenu, na ninaziomba mamla zote za Halmashauri zitimise ahadi zao ili Watanzania wote bila kujali itikadi zao wanufaike. Mungu Ibariki Tanzania. Mungu wabariki Wanyofu wa moyo wanaotekeleza majukumu yao kwa kadiri ya mapenzi yako na siyo matakwa binafsi ta mtu mmoja mmoja.
Dr mbona uko much concerned na siasa za Arusha na Gambo? Kunann nyuma ya pazia? Unalitaka jimbo nini sema moja tukuelewe
 
Huyu ndiye Dr Slaa......hakika ameacha Ombwe kubwa pale ufipa.

Hebu ona anavyotiririka na kueleweka.....hoja jadidi kabisa ilojaa ukweli halisi.
Lumumba FC anatema cheche hahahaha....mkuu leo buku saba saba hujapiga eti??
 
Unatumia nguvu nyingi na matusi juu kumbe source ya taarifa zako ni huyo.

Siku nyingine usimtaje Huyo uliyemtaja kama source ya taarifa zako watu watakupuuza.

Mkuu umechanganyikiwa, Dr slaa hasomi Canada, bali anaishi.
na kuishi huko ni gharama kubwa sana hasa Kwa pesa za madafu alizokuwa amevuna bongo Kwa mshahara tu zingeisha, Nimekuambia kuwa alihongwa mabilioni na ccm ili asaliti mabadiliko, Yericko Nyerere anajua ila Kwa sasa hawezi tena kuropoka tangu Ben saanane amezwe na chatu.

Halafu acha chuki Dr. Slaa ni level nyingine.
 
Back
Top Bottom