Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

Status
Not open for further replies.

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
690
Reaction score
354
Huwa natembelea mara nyingi ktk ukurasa wa Dr.Slaa ktk mtandao wa kijamii wa twitter, leo(samahani niko via mobile hivyo siwezi kuleta LINK) amekuja na ujumbe huu.

"Maendeleo hayaletwi kwa kubahatisha, bali huletwa na mabadiliko, wewe na mimi(sisi) ndo tunaotakiwa kuleta mabadiliko"(nimeitafisiri kwa kiswahili, mtaniwia radhi kama nitakuwa nimepotosha). Je Mtanzania mwenzangu uko tayari kuleta mabadiliko? Umepigika na maisha magumu?

Umechoka kubambikiwa kesi, kuuwawa na kuonewa na jeshi la polisi?, umechoka kuona mhimili wa dola(mahakama) inatumikia serikali, kupendelea wenye pesa ktk maamuzi?, umechoka kuona bunge letu likigeuka taasisi ya CCM?, uko tayari kuona wachache wakivuna rasilimali za Taifa huku wengi tukiteseka kwa umasikini wa kutupwa?

Je umeridhika kuona hali ya elimu ya vijana wetu ilivyo sasa(unaweza kushindwa kutofautisha vijana waliomaliza kidato cha 4 na yule wa drs V11)? Nawasilisha!!!!!!
 
Mie siko tayari...........sasa nini kifanyike malizia kabisa..... tupe way foward
 
Hapana. Tupe Link, sina imani na hii, maana hata mimi kwenye page yake nimekwenda
 
Kenya wenzetu wameweza, sie bado tumelala wabongo bana!!
 
398925_395861980441474_100000530260857_1446109_465654622_n.jpg
 
jamani mwenye kujua kadi za chadema zinapatikanaje anisaidie nizipate kwa wingi maana niko na watu wanazitaka ila muda na sehemu zinakopatkana ndo inakua matata!
 
Hapana. Tupe Link, sina imani na hii, maana hata mimi kwenye page yake nimekwenda

jaribu kutembelea sio kutafuta cheap populality tu. Usiwe mvivu kutafuta habari. Ila ni mawazo yako tu, ahsante kwa kuchangia.
 
Upo Karatu, meru au Moshi? huko ndiko zipo highly demanded! Kwingine hamna mtu anataka kukisikia hicho chama
 
Attachments

  • read_books_online_free.jpg_128_128_0_10000_0_1_0.jpeg
    read_books_online_free.jpg_128_128_0_10000_0_1_0.jpeg
    4.3 KB · Views: 2,546
A way forward ni kuwa kitu kimoja CDM kuna shutma zinaizonga pengine ni propaganda tu za wenye kuchukia maendeleo ya CDM lakini hakuna hata siku moja CDM imekanusha au kutolea maamuzi ambayo yatawafanya watu wapuuze shutma hizo.
1. Kuwa CDM ni chama cha kikanda na hata wabunge wake wengi ni wa kutoka kanda fulani.
2. CDM ina mkono wa kanisa (hapa nakumbuka shutma dhidi ya CUF wao walikuwa wanazikanusha ila kwa bahatio mbaya au sijapata kusikia popote CDM wakikanusha hili)

Mabadiliko yatapatikana watanzania wakiwa wamoja bila kujali kanda zao/koo zao wala dini zao je CDM wapo tayari kuonyesha njia?
 
Upo Karatu, meru au Moshi? huko ndiko zipo highly demanded! Kwingine hamna mtu anataka kukisikia hicho chama

Kama hujui shut your beak, Nahisi ungekuwa wa msaada zaidi ukiwa kimya kuliko ulichosema. Wewe ndo kwingine au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom