Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Hakika huyu ndiye anayefaa kuwa rais wa Tz. Mungu akubariki Dr Slaa.
 
Tazama tena list of shame pale nilipoweka rangi ya hatari
 
Nimependa hapo uliposema alimfanya Gavana wa BOT Balali akakimbia nchi na mpaka sasa hajulikani alipo

Mkuu nasikia mzee mamvi aliwapiga biti mafisi wenzake, kwamba wasipomptisha kupeperusha bendera ya Mafisi. Atamleta Dr Balali, sasa mie huwa najiulza hivi Mamvi ana uwezo kufufua wafu?
 
Samahani naomba kuuliza kama BANDIKO lako lina baraka zote toka KURUGENZI YA HABARI ya CHADEMA?

Ni watanzania wazalendo tumejitolea kumshawishi agombee urais make ni yeye tu ndiye anayeweza kutufikisha inji yenye maziwa na asali.
 
Kwa umri aliobakiza huyo Babu namshauri atubu arudi kwenye Upadri la sivyo laana ya uzinifu itazidi kumtafuna
 
Unajua wazi kuwa kumpata muadulifu CCM ni kama kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi,hhhhhaaaa haaaaah
 

Sidhani kama ccm watashinda kirahisi kiasi hcho Kurugenzi ya Habari,naomba Mganye kampeni za kitaalamu zaidi,kwa mijini tumieni social network kwa ufasaha Sana,na kwa maeneo ya vijijini mguu kwa mguu.
Magamba ni wepesi Sana
 
Last edited by a moderator:
Kwa ufupi nilichokiona kwenye cv ni ujuzi wa lugha na uandishi wa vitabu vinavyohusu wasichana na wavulana, kwa nini asiandike kuhusu wazee au mbingu mpya na nch mpya? Jamaa anavutiwa sana na mambo ya kijinsia hasa kwa rika la kati! Na ndicho kilichomfanya asaliti utume alioapa kwa Mungu wake! Ee Mungu tusaidie maana akiingia ikulu sijui kama dada na mama zetu watapona, wenye ndoa kuweni macho na mtu huyu!!
 
Haaa haaa unakubali kiaina
 
.... Kwakweli Huyu Ndo Rais Tumtakaye. Hongera Sana Rais Wetu Mtarajiwa.
 
... Slaa Ndo Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Ya Tanzania
 
hivi slaa naye ni wakushawishiwa kugombea urais wakati anauota siku zote? wakati mwengine uwe serious basi. da!.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…